Acha kabisa Mimi nilishaacha hiyo account mwanzo niliwapiga vihela vidogo Wanakupa one day niliwapapasa walichofanya ni kushikiria PESA eti wakaongeza siwezi toa 700k nzima nitoe 750 wakati account ina 700 SASA hiyo 50 inatoka wapi wakanambia nibetie game itakayo nipa kiasi hicho NDO nitoe aiseh, BASI TU nilijaribu tena KWA kujipa moyo kilichotokea mafala wote wanaoipa promo hiyo betting appWalitaka documents za utambulisho nikawapa...
Baadae wakataka benki statement ya miezi 3 na risiti za malipo ya umeme,gesi zenye jina langu. Nikawaambia sina...Wakagoma hapo.
Nikasema niende Gaming Board nikaambiwa niandike maumivu tu.Nimecheza upatu tu.
Ingekuwa kampuni imesajiliwa ningekomaa nao hata mahakamani 17m nyingi.
Sasa hao PARIPESA hata physical address hawana ukitaka kuwashtaki unaenda wapi?