Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20250811-222227.png

Hapa wakati naweka huu mkeka sijui nilikuwa nawaza nini yani kumbe mechi inayofuata ni ijumaa!😂😂😂😂
 
Mzee wewe unaweka stake kubwa, vipi uliwahi kupata changamoto kwenye kutoa hela kwenye hizi kampuni za kirusi?
Lakini pia kuhusu yule jamaa aliyesema yeye alishinda milioni 17 halafu wakazuia kutoa hela yake, tatizo ni yeye mwenyewe alichanganya kuandika majina yakawa tofauti na majina ya kwenye laini. Kwa hiyo wakawa wanataka uthibitisho kama ni yeye kweli maana majina aliyojaza kwenye profile ni tofauti na majina ya kwenye laini aliyotumia kujisajilia.
 
Shukrani mkuu tuendelee kupambana
 
WEWE hua uchezi hua unajibarqguza hapa na fake win , sisis tunaocheza NDO tunaumia .

Au wewe NDO mmiliki WA paripesa.

MWENYEWE nilikatakiwa kutoa 700k eti naruhusiwa kutoa 750 KITU qmabacho hawakusema kabla ya kuwini
Halafu eti anataka uende DM aiseeee

Wewe NDIO umeicheza then yeye NDIO anajua zaidi kuliko wewe mwenye ushuhuda, aiseeee

Kampuni nyingi za nje ni Wasaniii tu
Ukiona hawana Ofisi Africa Mashariki ujue Kazi ipo hata usajili ni sheeeda
 
Mkuu huyo jamaa alikuja Dm tatizo likaonekana alijisajili kwa kutumia namba yake lakini sehemu ya kuandika ID aliandika ID na majina ya mtu mwingine. Kampuni za betting wa kiona kuna mkanganyiko kama huo ni lazima wakuombe utume taarifa rasmi ili wahakikishe kama wewe siyo tapeli. Nadhani kuna kipindi kuna mtu alishinda sport pesa jackpot, huyo aliyeshinda alifungua Akaunti kwa kutumia namba iliyosajiliwa kwa majina ambayo siyo yake, wakataka mwenye majina ya kwenye laini afike ili alipwe pesa zake. Na ndivyo kampuni zinazo operate in international level hufanya. Hata sasa hivi ukitaka kufungua Akaunti Kwenye kampuni ya stake au bc game ukitaka Kudeposit watakuomba utume bank statement au bill yoyote uliyolipa ndani ya miezi 3 iliyopita.
 
Wakuu Tutakutana Mchana Saa 6, ngoja niende shambani maana wiki iliyopita barafu ilitua ikaunguza viazi vyangu vyote kwa hiyo natakiwa nipande tena. Muwe na asubuhi njema na kazi njema.
 
Mkuu usije kuwa na wewe ulifungua Akaunti kwa kutumia laini iliyosajiliwa kwa majina ya mtu mwingine na NIDA namba ukajaza ya mtu mwingine kama yule jamaa wa jana aliyeshinda milioni 17. Halafu pia mkuu, watu wengi wanacheza na wanashinda na wanatoa hela zao safi kabisa.
Unafikiri mimi mjinga, Nina nida na nimesajiri KWA vyeti vyangunvya kuzaliwa na mtaa niliokulia na ndio natumia hadi bank kufungua account SASA HATA sikuelewi
 
Mkuu huyo jamaa alikuja Dm tatizo likaonekana alijisajili kwa kutumia namba yake lakini sehemu ya kuandika ID aliandika ID na majina ya mtu mwingine. Kampuni za betting wa kiona kuna mkanganyiko kama huo ni lazima wakuombe utume taarifa rasmi ili wahakikishe kama wewe siyo tapeli. Nadhani kuna kipindi kuna mtu alishinda sport pesa jackpot, huyo aliyeshinda alifungua Akaunti kwa kutumia namba iliyosajiliwa kwa majina ambayo siyo yake, wakataka mwenye majina ya kwenye laini afike ili alipwe pesa zake. Na ndivyo kampuni zinazo operate in international level hufanya. Hata sasa hivi ukitaka kufungua Akaunti Kwenye kampuni ya stake au bc game ukitaka Kudeposit watakuomba utume bank statement au bill yoyote uliyolipa ndani ya miezi 3 iliyopita.
Huu ujinga anapewa PESA MWENYE account au MWENYE line
 
Back
Top Bottom