Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Nilifuta ila Bado inatokea kwa aliyequoteUshafuta.??
Nilifuta ila Bado inatokea kwa aliyequoteUshafuta.??
Kwakweli sportybet iko simple sana kuweka mikeka. Kampuni nyingine zote zilinishinda, mipangilio mibovu yaani not user friendly.SPORTYBET ni kampuni rahisi kuweka mikeka lakini wanautapeli saana kwenye kuzuia matchez kwenye ku cash out.😔😔😔😔😔😔😔🤮, kampuni gani nzuri yenye interface nzuri kama SPORTYBET??🙏🏼
NGoja nifute..waombe na aliquote afuteNilifuta ila Bado inatokea kwa aliyequote
Mkuu unahisi nadanganya ili iweje? Nimemcheki jamaa inbox naomba niwe kimya kwa sasa.Hebu screenshot hiyo account tuone hizo mil 17
Mkuu kwa sasa nimepumzika naugulia maumivu kwanza...Ila huwa natumia kampuni zenye mfumo wa Kirusi sababu wana options ambazo kushinda ni rahisi. Ni wewe tu kuwa na mtaji mkubwa ili hata odd ya 1.07 ukiweka 1m uhakika 70k.pachanya cheza au tumia BETPAWA, SPORTYBET, SPORTPESA NA PLAY MASTER, japo Sportpesa na Betpawa Huwa hawana masoko mengi kivile
Hasa BETIKA yaani unaweza kubet Mechi ya mwaka ujao Bila kujuaKwakweli sportybet iko simple sana kuweka mikeka. Kampuni nyingine zote zilinishinda, mipangilio mibovu yaani not user friendly.
Kuna tofauti ya machaguo mengi na machaguo bora kwenye sportybet wapo active sana kila siku wanakuja na vitu vizuri mfano Ilikuja 2UP sasa hivi wana hadi 1UPMkuu Napost Kwa Sababu Ni Kampuni Bora, zilizo jaa machaguo mengi tofauti na kampuni zenye usijali wa Tanzania. Ulitaka niwe Napost Wasafi Bet, Sport pesa na Betpawa au Sportybet ambazo nikitaka nibet corner inanipa chaguo la over 9.5 au goals zina anza na over 3.5?
Sasa kama ni hivyo mbona kuweka pesa awakatai majina yakiwa tofauti na kwenye kula pesa yako wanatafuna tu ...swala la majina lije kwenye kutoa pesa ulizo kula tu 🙄 achaneni na hizo kampuni mafii 💩 ya sisiemuLakini pia kuhusu yule jamaa aliyesema yeye alishinda milioni 17 halafu wakazuia kutoa hela yake, tatizo ni yeye mwenyewe alichanganya kuandika majina yakawa tofauti na majina ya kwenye laini. Kwa hiyo wakawa wanataka uthibitisho kama ni yeye kweli maana majina aliyojaza kwenye profile ni tofauti na majina ya kwenye laini aliyotumia kujisajilia.
Hii ndio betting business kongole sana! Nitafika huku siku mojaMkuu unahisi nadanganya ili iweje? Nimemcheki jamaa inbox naomba niwe kimya kwa sasa.
Ila jua kuna watu wanabet serious, mimi kula 500k-1m kwa siku ni kawaida sana..
Nabet Live match tu naweka dau kubwa. Check.mkeka wa siku moja tu tarehe 30
Ngoja nibet now nile 100,000 ya fasta tu...Nilete mrejesho humu.Tukubaliane kampuni ukoo wa mrusi ni nzuri zina option nyingi kukuwezeaha kula hela yao. Mfano unakuta mrusi mechi ameanzia na over 1.5 halafu mechi hiyo hiyo sporpesa ameanzia na over 2.5 apo manake anaitafuta hela yako kwa heri ama kwa shari.
Shida kampuni za mrusi zina kashfa ya kuwapiga wabetiji maneno tofauti. Mimi mwenyewe kwa mrusi hunitoi ila natafutia hela ya kula tu Sina mpango wa kubeti mkeka wa kula milioni 50
kodi vipi?Mkuu unahisi nadanganya ili iweje? Nimemcheki jamaa inbox naomba niwe kimya kwa sasa.
Ila jua kuna watu wanabet serious, mimi kula 500k-1m kwa siku ni kawaida sana..
Nabet Live match tu naweka dau kubwa. Check.mkeka wa siku moja tu tarehe 30
Kiongozi bonus ya melbet inatumika vpView attachment 3439073
MKEKA WA SIKU PARIPESA ⚽
Code 👉 69E15
📌 Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Kujisajili PariPesa Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Ukideposit Kwa Mara Ya Kwanza.
Jisajili PariPesa Hapa👉 https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code Weka👉 TIPS2424
Hii option inatakiwa corner zianze kupigwa kuanzia dadika ya 5 si ndio boss??
View attachment 3438782
LUNCH TICKET
Code 👉 B8DXM
📌 Pata Bonus Ya Mpaka 300,000 Ukijisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉TIPS2424 Kisha Ukideposit Kwa Mara Ya Kwanza.
Jisajili PariPesa Hapa👉 https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code 👉 TIPS2424
Yes kuanzia dak ya 5 - 20Hii option inatakiwa corner zianze kupigwa kuanzia dadika ya 5 si ndio boss??
Sawa tunaomba hiyo slip ya mil 17Mkuu unahisi nadanganya ili iweje? Nimemcheki jamaa inbox naomba niwe kimya kwa sasa.
Ila jua kuna watu wanabet serious, mimi kula 500k-1m kwa siku ni kawaida sana..
Nabet Live match tu naweka dau kubwa. Check.mkeka wa siku moja tu tarehe 30