Kamotee
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 1,061
- 757
Mkuu sijui mtazamo wako unatoa wapi. Ila ngoja nikuambie kitu: betting siyo mbaya kama wewe na wengi mnavyo fikiri au kujaribu kufanya ionekane mbaya. Kwa taarifa yako huku Africa ni kama tunajaribu Kubet, Sehemu zinazo ongoza kwa Kubet moja ni Ulaya, mbili ni Asia hususani India, Marekani nk. Rais wa Dunia wa sasa kabla hajawa Rais alikuwa anabet na kumiliki Casino na pengine bado ana Bet, wanasiasa wakubwa, wana muziki na watu wengine mashuhuri wanabet. Je hao wote wanacheza adolescence game?Kubet Ni adolescence game