Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


BOOOOOOOMβœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

1.1 MILLION WON βœ…βœ… πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Leo Ni Siku Nyingine Ya Kushinda

Jiunge PariPesa Kupitia Link HiziπŸ‘‰ https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo Code AndikaπŸ‘‰TIPS2424 Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Ukideposit Kwa Mara Ya Kwanza.
 
WEWE hua uchezi hua unajibarqguza hapa na fake win , sisis tunaocheza NDO tunaumia .

Au wewe NDO mmiliki WA paripesa.


MWENYEWE nilikatakiwa kutoa 700k eti naruhusiwa kutoa 750 KITU qmabacho hawakusema kabla ya kuwini
Mkuu nimechunguza nikagundua baadhi ya watu wanaotumia hizi kampuni zenye masoko ya urusi slip zao ni fake
 
Tukiwa tunaanza msimu mpya tutahakikisha tunatomez watu matapeli kama nyie mnaoshirikiana na kampuni zakitapeli kutapeli watu kwa slip fake na bonus zalipumbavi zenye masharti ambayo ni ngumu wateja kuzipata
 
Wazee wamikeka tujitahidi kusoma terms and condition za makampuni

Jiepushe kuwa account zaidi ya moja kwenye kampuni utakayojiunga

Tumia kampuni ambayo utaweza kuwasiliana nayo hasa kwa njia ya simu ukipata changoto, ambayo pia ina ofisi physically ata kama ni nje ya mkoa unapoishi
 
Utapeli unaofanya ndo huo wakupromote watu watumie kampumi yakitapeli mnayodanganya watu kuwapa bonus ya 300,000 ambayo ni impossible kuipata

Wewe tuma code tulia mambo yakutangaza watu watumie paripesa waachie wenye kampuni

Wewe kama kila siku unawin zaid ya 500,000 sasa promo bonus unaangaika nayo ya nini
 
Tapeli
 
Uzuri mimi Napost Code mtu ana copy na kwenda ku load Mkeka anaona kama ulivyo. Wewe hapo juu unaona kuna Code yoyote hapo umeweka? Nioneshe Code kwenye huo Mkeka wako
Unaona the way ulivyo tapeli wewe mpumbav apo mtu wa kampuni yeyote anachukua match anahamisha

Sasa wewe na hizo fake slip unazoenda okoteza uko unakuja weka hapa ukiwa umezificha mpka uwe umejisajili kwenye iyo kampuni yakitapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…