Mkuu under 2.5 sio 2 kurudi chini mfano 1-1 2-0 1-0 0-0 au Mimi sielewi mkuuIlitakiwa na goli ziwe 3+
Soma hyo screenshot hapo juu toka chatgptMkuu under 2.5 sio 2 kurudi chini mfano 1-1 2-0 1-0 0-0 au Mimi sielewi mkuu
Poa mkuu nilidhan wamekosea
1xbet hii sahau njia uliotumia ku deposit ndo unatakiwa utoleeWadau kwa wenye uzoefu hii pea nilitoa tangu tarehe 12 mwezi huu kuja tigo pesa.
Vipi nitaipata au imepotea?
Hongera sanaSiyo mbaya ๐๐
View attachment 3443657
Duh Toka 12 mpaka 17 LeoWadau kwa wenye uzoefu hii pea nilitoa tangu tarehe 12 mwezi huu kuja tigo pesa.
Vipi nitaipata au imepotea?
Litolee taarifa,wakiurudisha kwenye akaunti tumia mawakala.Wadau kwa wenye uzoefu hii pea nilitoa tangu tarehe 12 mwezi huu kuja tigo pesa.
Vipi nitaipata au imepotea?
Nimeshatolea taarifa wanashughulikiaLitolee taarifa,wakiurudisha kwenye akaunti tumia mawakala.
Inaweza kurudi mkuu?Litolee taarifa,wakiurudisha kwenye akaunti tumia mawakala.
Ndio hiyo nilideposit kwa tigo na kutoa nihivyo hivyo wao wanasema kulikua na changamoto ya mtandao ila wanafanyia kazi1xbet hii sahau njia uliotumia ku deposit ndo unatakiwa utolee
Safi mzeeSiyo mbaya ๐๐
View attachment 3443657
Muda wa Kanji kupiga hela huu...mara ooh!, sibeti mpaka ligi zirudi. mara eeh!, ligi zikirudi pesa iko wazi.
haya sasa, tazama West Ham alichotufanyia wakamaria. kadidimizwa 3-0 na kibonde Sunderland.
hakuna utofauti wa ligi kurudi wala kuisha.
Upo vizuri sana kwenye kuchagua Odd mkuu.Siyo mbaya ๐๐
View attachment 3443657