Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi vipigo itabid niwe naenda kwa mchungaji anabariki kwanza
 
Hawa iran bana dk zoteeeee mmeshindwa kufunga mnakuja kufunga dk za nyongezaaaa ahez
 
Hawa Premier vipi....wamebeba pesa zangu kwenye account wameacha sh460 tu
 
wadau wa online kuna hela hapa kwenye hizi mechi
 

Attachments

  • upload_2016-9-1_23-13-8.png
    14.8 KB · Views: 43
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…