Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
Imefungiw kabisa mkuu, ukiingiza acc no, na Password hazikubali.. Ni kama imefutwa kabisa.Kwahiyo hiyo Yako kafunga hauwezi kuingia au namba Gani bado sijakusoma mkuu
Aisee hao mbwa kumbe wezi kiasi hicho sijawahi kuwatumia ila nasikiaga malalamiki YaoImefungiw kabisa mkuu, ukiingiza acc no, na Password hazikubali.. Ni kama imefutwa kabisa.
Halafu hawataki kusajiliwa nchi husika.Wanasema wanaoperate online...Mimi nikiangalia movie wale mamafia wa kirusi huwa sithubutu hata kuchungulia hizo kampuni zao
1.Ug vs seneg ...senegl win
2.mancity vs totth ....man city win
3.sudn vs Algeria ...Algeria win
4.arsenal vs Leeds....arsenal win
5.bounm vs wolv....boun win
6.levant vs Barcelona...Barca win
7.st Pauli vs dotmund ...dotmund win
8.liverkusen vs hoffmen...liverk win
Aisee ndio maana Mimi natumia meridian bet na sporty bet tu zilizosajiliwa bongoHalafu hawataki kusajiliwa nchi husika.Wanasema wanaoperate online...
Ila ukiwa unaliwa hutaona tatizo nao kabisa.Nilikula nikatoa kama 12m ndani ya wiki 3/4 nikaona Odds zimeshushwa ghafla wakaseti kutoa mwisho 300k kwa siku.
Ukiona mtu hajakumbana na kadhia hizi ujue huyo mteja wao wa kuliwa.
Halafu hawataki kusajiliwa nchi husika.Wanasema wanaoperate online...
Ila ukiwa unaliwa hutaona tatizo nao kabisa.Nilikula nikatoa kama 12m ndani ya wiki 3/4 nikaona Odds zimeshushwa ghafla wakaseti kutoa mwisho 300k kwa siku.
Ukiona mtu hajakumbana na kadhia hizi ujue huyo mteja wao wa kuliwa.
Hapana nilizikusanya kwa muda...huwa naweka 1m nakula labda 200k.Huwa nabet Live game na mechi moja tu.Kama hii Game ya City na Spurs naweka wasifungane 1stHalf.Wanahisi umecheza Fixed game.
Yaan Ulikuwa na matokeo wakat wa kubet na pia ukaweka hela ndefu.
Lazima washtuke.
Mkeka uliowon mil 17. Uliweka sh ngap na kwa odda ngap?
Kirahisi tu hivyo ausioUganda Vs Senegal correct score FT 1:2
Siku zote mahesabu huwa mazuri kabla ya game hazijaanza1.Ug vs seneg ...senegl win
2.mancity vs totth ....man city win
3.sudn vs Algeria ...Algeria win
4.arsenal vs Leeds....arsenal win
5.bounm vs wolv....boun win
6.levant vs Barcelona...Barca win
7.st Pauli vs dotmund ...dotmund win
8.liverkusen vs hoffmen...liverk win
Nani tena kaharibu huko?Hivi mechi za mchana kwanini zinakua hivi
City 😎😎1.Ug vs seneg ...senegl win
2.mancity vs totth ....man city win
3.sudn vs Algeria ...Algeria win
4.arsenal vs Leeds....arsenal win
5.bounm vs wolv....boun win
6.levant vs Barcelona...Barca win
7.st Pauli vs dotmund ...dotmund win
8.liverkusen vs hoffmen...liverk win