Mzee Garang sijui yupo wapi..niliwahi chukuoa code yake ya train mwaka 2023 zilikuwa team 60 mbili ndio ziliharibu...ulikuwa bonge la mkeka..ilikuwa nile 123 milion kwa buku3Namkumbuka jamaa mmoja hivi The Garang mzee wa matreni ya betpawa humu kulikuwa hamna promo za makampuni ni mwendo wa code za mikeka tu
Man City Win
View attachment 3450639
1xbet nadhani Nigeria wamesajiliwa na Kuna mashindano ya ndani wanadhanini.Hao Paripesa sijui 1xbet hawajasajiliwa sio Tz tu,Bali Africa nzima mkuu, Ni matapeli tu kesho TCRA wanaweza wakazima hata Domain yao ikala kwetu.
Anayebisha aseme physical address yao ipo wapi?
Matreni yake ingekuwa ni sportybet tungekula sana cash out enzi hizo betpawa walikuwa hawana cash out unakuta treni lake la mechi 60 kuanzia mechi ya kwanza hadi ya arobaini zimetiki.Mzee Garang sijui yupo wapi..niliwahi chukuoa code yake ya train mwaka 2023 zilikuwa team 60 mbili ndio ziliharibu...ulikuwa bonge la mkeka..ilikuwa nile 123 milion kwa buku3
Edit nimegundua matreni ya siku zaidi ya mbili ayafanyi vizuri nikiyatengeneza ili la leo leo tunafunga hesabuTusichoke japo kuna matokeo utengenezwa ili wazungu wapune pesa zetu ....kama mechi za majuzi man city nk ule ulikuwa mpango wa mabilioni
SPORTYBET una anza leo na kuisha leo mnaweza kufanya na edit kuzituma hapa
51P0B9
Hongera sana aiseee! Nina loss kubwa sana.π₯Ή
Kampuni gani hii mzee?Edit nomegundua matreni ya siku zaidi ya mbili ayafany9 vizuri nikiyatengeneza ili la leo leo tunafunga hesabu
5ECK2S
Jamaa wana pesa yangu ndefu wamechukua kimabavuπ πKampuni inahusu hela lakini hakuna mawasiliano yao. Bora hata M LIPA ilikuwa malipo yakizingua unawatafuta,Sasa Hawa washenzi hakuna mawasiliano
Mimi ndio maana nabeti meridian bet na sporty bet tu hawajawahi kuniletea uhuni hata nikila pesa ndefu vipiJamaa wana pesa yangu ndefu wamechukua kimabavuπ π
Mimi ndio maana nabeti meridian bet na sporty bet tu hawajawahi kuniletea uhuni hata nikila pesa ndefu vipi
Hao wajinga wanatamanisha watu Ili ukiweka mpunga wa maana wanaanza utapeli unajua hutowapata sababu hawana dhamana yeyote hapa nchiniWacha nirejee kampuni za ndani tukuze uchumi wa nchi.
Edit nomegundua matreni ya siku zaidi ya mbili ayafany9 vizuri nikiyatengeneza ili la leo leo tunafunga hesabu
5ECK2S
Kampuni ya watu wenye akili timamu ..SPORTYBET soma comment kablq ya mkeka wa edit ungeona kampuniKampuni gani hii mzee?
Soma comment ya mkeka wa kwanza kabla ya huo wa edit utajua campuni gani ...muwe mnajiongeza kuna code 2 nimetumaKampuni gani
JingaView attachment 3451127
3 ODDS ON PARIPESA β½
Code π 47F4U
Jisajili PariPesa Hapaπ https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code π TIPS2424
π Tumia Promo Codeπ TIPS2424 Kujisajili Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Ukideposit.
Jiunge Telegram π Kayombo Tips β½π₯ππΎπ±π
Ukisha claim rewards yako ,fanya selection ya mechi unazotaka kubet,ukimaliza kama unaplace bet basi hakikisha kwenye stake pasomeke zero then chini kabsa utakuta option ya use gift na ukiclick hyo option ndo itasoma kama stake yako na hvyo unaweza kuplace na kuconfirm bet yako.View attachment 3450539
Wazee wa sportybet hii ofa inatumikaje kila nikijaribu naambiwa incompatible bet slip