Ndoto Alinacha hizo mkuu.Nikibeti kwa miezi mitatu mfululizo bila kuliwa nitakua na mil 26. Hahaaaaaaa kwa odds ya 1.1
Wewe ni mpumbavu sana..Kumbe ni mkeka wa matangazo mkuu ya kujiunga na Paripesa? Nilidhani ni mkeka halisi ambao unataka kushare hata na watu wanaotumia kampuni zingine kama mimi ninayetumia Premierbet.
Sawa mkuu.Wewe ni mpumbavu sana..
Hahaaaa kwamba nitashindwa kupata odds ya 1.1 kwa siku?Ndoto Alinacha hizo mkuu.
Sasa hiyo odds 1.1 utaweka milioni ngapi ili upate faida inayoonekana mkuu? Je, una uhakika odds ndogo zinatoa matokeo chanya kila siku?Hahaaaa kwamba nitashindwa kupata odds ya 1.1 kwa siku?
Nitaleta mrejesho tarehe kama ya leo mwezi ujao
Probability ya kutoa kila siku ni kubwa. So far nimeenda siku 10 mfululizo nimeona haijafeliSasa hiyo odds 1.1 utaweka milioni ngapi ili upate faida inayoonekana mkuu? Je, una uhakika odds ndogo zinatoa matokeo chanya kila siku?
Dandia bado mbiliSb. 5Z1DPV
Dakika zaidi ya 210 wameshindwa kufunga goli Moja😂
Dakika zaidi ya 210 wameshindwa kufunga goli moja
Celtic na mwenzake wamecheza masaa matatu kutoka 0-0😂Dakika zaidi ya 210 wameshindwa kufunga goli Moja😂
Sawa mkuu. Hivi hiyo odds ya 1.1 ukiweka laki moja unapata sh mia ngapi?Probability ya kutoa kila siku ni kubwa. So far nimeenda siku 10 mfululizo nimeona haijafeli
hapo ni kama 10,000 faidaSawa mkuu. Hivi hiyo odds ya 1.1 ukiweka laki moja unapata sh mia ngapi?
Bet won 🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥Sb. 5Z1DPV
Hakuna kodi mkuu? Na ukiliwa unaliwa laki nzima kwa ajili ya kutafuta f10 tu!hapo ni kama 10,000 faida