Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tuwe makini na mechi za leo...

team zilizoshinda goli nyingi mechi za kwanza usizidhamini, utalia...

mimi jana Qarabag aliniliza...

sihitaji na wewe ulie...
Umesema kweli kabisa mkuu. Timu hzi hata zikifungwa au kudraw hazina hasara. Ila jana club brugge kafanya kweli. Nadhania atakuwa kamfukuzisha kazi kocha wa Rangers.
 
-l52adc.jpg

🏀 BASKETBALL 🏀

Code 👉 SF928

📌 Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Kujisajili PariPesa Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Ukideposit.

Jisajili PariPesa👉 https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo Code👉 TIPS2424

APK Download: https://paripesa.bet/tips2424app
 
Sawa mkuu. Hivi hiyo odds ya 1.1 ukiweka laki moja unapata sh mia ngapi?
Mkuu betting mimi naifanya kama starehe wala sifikirii kuwa nitatoboa kupitia huku.

Nimeamua kuunguza 5000 kwa style tofauti. Nachambua game walizotabili washkaji alafu napata game moja kwa option ambayo probability ya kutoa ni 90%. Siku ya 11 leo sijaliwa. Nataka niende mpaka siku 90 nione itakuaje
 
Hakuna kodi mkuu? Na ukiliwa unaliwa laki nzima kwa ajili ya kutafuta f10 tu!
Upo sahihi mkuu.

Tumia Paripesa hawajaanza kutoza kodi kwa sasa.
Alafu kwa uzoefu wako wa kuchambua na kufahamu option mbalimbali bado unachaniwa na odd ya 1.1??
 
Upo sahihi mkuu.

Tumia Paripesa hawajaanza kutoza kodi kwa sasa.
Alafu kwa uzoefu wako wa kuchambua na kufahamu option mbalimbali bado unachaniwa na odd ya 1.1??
Sawa. Hata hivyo, odd ndogo sio guarantee ya kushinda mkuu. Hujawahi kuangushwa na odd ya 0.1?
 
Sawa. Hata hivyo, odd ndogo sio guarantee ya kushinda mkuu. Hujawahi kuangushwa na odd ya 0.1?
Iliwahi kunitokea tena nikiwa kwenye roll-over uzuri ni kwamba nilikuwa nachukua profit everyday so mtaji ulikuwepo wa kutosha....


ilikuwa odd ya 1.2
 
Screenshot_20250828-143234.jpg

Kwani Hawa wa home walikuwa wamesimama hawachezi au walikuwa wanacheza mipira ya mikono😁
 
Mkuu betting mimi naifanya kama starehe wala sifikirii kuwa nitatoboa kupitia huku.

Nimeamua kuunguza 5000 kwa style tofauti. Nachambua game walizotabili washkaji alafu napata game moja kwa option ambayo probability ya kutoa ni 90%. Siku ya 11 leo sijaliwa. Nataka niende mpaka siku 90 nione itakuaje
Uamuzi mzuri mkuu shida ya watu wengi wanaendeshwa kwa tamaa ,je hiyo 5k unaiweka kila siku au faida unayopata unaweka yote?
 
Iliwahi kunitokea tena nikiwa kwenye roll-over uzuri ni kwamba nilikuwa nachukua profit everyday so mtaji ulikuwepo wa kutosha....


ilikuwa odd ya 1.2
Hata odds ndogo huwa zinafeli mkuu. Na unashangaa timu iliyopewa odds ya 14 7 inashinds hata kwa magoli 5!
 
Back
Top Bottom