Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu betting mimi naifanya kama starehe wala sifikirii kuwa nitatoboa kupitia huku.

Nimeamua kuunguza 5000 kwa style tofauti. Nachambua game walizotabili washkaji alafu napata game moja kwa option ambayo probability ya kutoa ni 90%. Siku ya 11 leo sijaliwa. Nataka niende mpaka siku 90 nione itakuaje
Code naomb
 
3jguta.jpg

⚽ BET OF THE DAY ⚽

Code 👉 VXX48

📌 Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Wakati Wa Kujisajili PariPesa Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Ukideposit Kwa Mara Ya Kwanza.

Jisajili PariPesa Hapa👉 https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo Code👉 TIPS2424

APK Download: https://paripesa.bet/tips2424app
 
Roll over unachukua profit everyday? au hujui maana ya roll over?
Naelewa mkuu ni Acc mbili tofauti that's why nikasema Nilikuwa na mtaji wa kutosha

All in All Betting ni burudani/biashara kulingana na utavyoichukulia...
 
Nyie pumbazaneni tu eti ukitulia hukosi PESA

Betting sio nyonyo la Mashalove kila mtu anakiona

It goes na Bahati utulivu kidogo mbwembwe kidogo

Mwisho wake NDIO huo,mtatapeliana wenyewe humu humu sijui njoo PM ninachimbo la ODDS za uhakika,sijui Fulani milionea, UTAPELI mtuuu

All the Best wajasiriamali wenzangu
 
Tupe mbinu mkuu
 
Back
Top Bottom