Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe ni mkeka wa matangazo mkuu ya kujiunga na Paripesa? Nilidhani ni mkeka halisi ambao unataka kushare hata na watu wanaotumia kampuni zingine kama mimi ninayetumia Premierbet.
Wewe ni mpumbavu sana..
 
Hahaaaa kwamba nitashindwa kupata odds ya 1.1 kwa siku?

Nitaleta mrejesho tarehe kama ya leo mwezi ujao
Sasa hiyo odds 1.1 utaweka milioni ngapi ili upate faida inayoonekana mkuu? Je, una uhakika odds ndogo zinatoa matokeo chanya kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…