nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Umesema kweli kabisa mkuu. Timu hzi hata zikifungwa au kudraw hazina hasara. Ila jana club brugge kafanya kweli. Nadhania atakuwa kamfukuzisha kazi kocha wa Rangers.tuwe makini na mechi za leo...
team zilizoshinda goli nyingi mechi za kwanza usizidhamini, utalia...
mimi jana Qarabag aliniliza...
sihitaji na wewe ulie...
kabisa mkuu...Umesema kweli kabisa mkuu. Timu hzi hata zikifungwa au kudraw hazina hasara
Mkuu betting mimi naifanya kama starehe wala sifikirii kuwa nitatoboa kupitia huku.Sawa mkuu. Hivi hiyo odds ya 1.1 ukiweka laki moja unapata sh mia ngapi?
Upo sahihi mkuu.Hakuna kodi mkuu? Na ukiliwa unaliwa laki nzima kwa ajili ya kutafuta f10 tu!
Sawa. Hata hivyo, odd ndogo sio guarantee ya kushinda mkuu. Hujawahi kuangushwa na odd ya 0.1?Upo sahihi mkuu.
Tumia Paripesa hawajaanza kutoza kodi kwa sasa.
Alafu kwa uzoefu wako wa kuchambua na kufahamu option mbalimbali bado unachaniwa na odd ya 1.1??
Iliwahi kunitokea tena nikiwa kwenye roll-over uzuri ni kwamba nilikuwa nachukua profit everyday so mtaji ulikuwepo wa kutosha....Sawa. Hata hivyo, odd ndogo sio guarantee ya kushinda mkuu. Hujawahi kuangushwa na odd ya 0.1?
Uamuzi mzuri mkuu shida ya watu wengi wanaendeshwa kwa tamaa ,je hiyo 5k unaiweka kila siku au faida unayopata unaweka yote?Mkuu betting mimi naifanya kama starehe wala sifikirii kuwa nitatoboa kupitia huku.
Nimeamua kuunguza 5000 kwa style tofauti. Nachambua game walizotabili washkaji alafu napata game moja kwa option ambayo probability ya kutoa ni 90%. Siku ya 11 leo sijaliwa. Nataka niende mpaka siku 90 nione itakuaje
Roll over unachukua profit everyday? au hujui maana ya roll over?Iliwahi kunitokea tena nikiwa kwenye roll-over uzuri ni kwamba nilikuwa nachukua profit everyday so mtaji ulikuwepo wa kutosha....
ilikuwa odd ya 1.2
Hata odds ndogo huwa zinafeli mkuu. Na unashangaa timu iliyopewa odds ya 14 7 inashinds hata kwa magoli 5!Iliwahi kunitokea tena nikiwa kwenye roll-over uzuri ni kwamba nilikuwa nachukua profit everyday so mtaji ulikuwepo wa kutosha....
ilikuwa odd ya 1.2
Naweka yote. Mgaji na faida unakua mtaji wa siku ijayoUamuzi mzuri mkuu shida ya watu wengi wanaendeshwa kwa tamaa ,je hiyo 5k unaiweka kila siku au faida unayopata unaweka yote?
Oh nice. Ni mwendo wa rollover tu niko njia kupata kianzio Angalau 15kNaweka yote. Mgaji na faida unakua mtaji wa siku ijayo
Nilichogundua tunabet kwa tamaa. Ukitulia ukatafuta 10% kwa siku hukosiOh nice. Ni mwendo wa rollover tu niko njia kupata kianzio Angalau 15k