Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Angekuwa na uhakika asingekuuzia ww wa namanyere huko wala usingnusa hata harufu.
Cha msingi ni old fish trap
 
Hongera kwa wale mliomnyoosha Kanji jana na pole kwa wale tuliokula za uso. Ndugu wazee naona odds za leo ni ngumu kuliko za jana ijapokuwa Jumapili ndiyo siku ya kupiga pesa. Leteni hiyo mikeka tunakili basi.
 
Leo ukituliza akili na mkono wa Kheri ukawa juu yako

Naamini utachekaaa ... Namfata Man city mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…