Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kuna mtu ashawahi kufanya rollover ya hvi akatoboa?
 

Attachments

  • IMG_1507.jpeg
    134.4 KB · Views: 29
JF ni zaidi ya sources nyingine za huko nje. madini yanayotemwa humu mtu hawezi akapakimbia akaenda sehemu nyingine.

ukiona hivyo ujue kuna maudhi humu, ndiyo maana wataalam wamepasusa
Kusema ukweli enzi nishamfumuaga sana kanji sababu ya wataalamu wa humu la maboya wakaletaga ujuaji sasa hivi ni tabi tupu kwa kweli
 
Kusema ukweli enzi nishamfumuaga sana kanji sababu ya wataalamu wa humu la maboya wakaletaga ujuaji sasa hivi ni tabi tupu kwa kweli
kipindi kile wataalam walikuwa hawana baya. wanajipinda wanachambua mechi wanasuka mikeka wanatuletea codes kiroho safi.

baada ya wajuaji humu kuanza kuwashambulia. wakaacha kutuma code.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…