Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Roma vs san rolenzo GG
Perugia vs ac bari GG, over 2.5 goals & perugia win( mm nimecheza GG )
 
mkeka bet hua wanaweka gem za africa ?? mbna kama sizioni
 
kweli muhindi kdhamiria kupoteza watu.

si kwa hamu waliyokuwa nayo wadau mara subiri ligi zianze mara ooh nitarudi september ligi kuu ikianza

mwingine nachukua likizo kwa muda sasa ligi zimeanza sioni watu wakirudi kama walivyokuwa wakisema NI KWAMBA MUHINDI KAWANYOOSHA AU? BINAFSI NIMEPIGWA ZA USO MPAKA SIONI WAPI NISHIKE....
 

Kweli mkuu,nilichezea za mbavu mpaka nikachanganyikiwa.
 
wakuu VP inakuwaje na mda kama wa week sijatia mzigo premier bet sasa ivi nikiweka team zaid ya tank ama sita haionekan tena ile sehem ya kuweka hela ili usubmitt mkeka. Je kuna aliyekumbana na hili tatizo?
 



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee sn Chief ... kubet ni kubet tu, iwe friendly games, iwe ligi, iwe cup qualification etc ... ugumu/urahisi uko pale pale.

Mi nlikuwa nawaangalia tu wanaosema wanasubiri ligi. HAKUNA NAFUU jombaa
 
wakuu VP inakuwaje na mda kama wa week sijatia mzigo premier bet sasa ivi nikiweka team zaid ya tank ama sita haionekan tena ile sehem ya kuweka hela ili usubmitt mkeka. Je kuna aliyekumbana na hili tatizo?
Hilo hata me nimekumbna nalo ila nacho fanya nali fresh ndo kinatokea ila nakuwa nalifresh zaid ya mara moja
 
wakuu VP inakuwaje na mda kama wa week sijatia mzigo premier bet sasa ivi nikiweka team zaid ya tank ama sita haionekan tena ile sehem ya kuweka hela ili usubmitt mkeka. Je kuna aliyekumbana na hili tatizo?
kile ki picha cha mwanadada sijui ndio serena mcheza tenisi walikishusha kule chini ndio kinalwta shida ni kama ki add flani hivi

niliwasilisha tatizo hilo kupitia email majibh niliyopewa

ni unatumia device gani? nikawajibu mpaka sasa sijaona tena response yao.
 
unatumia browser gan?
mostly nilikua natumia chrome na tatizo hilo halikuwepo ila nahisi kuna changes zimefanyika hasa kwenye ile picha na yale maneno ya deposit now
voucher
tigopesa
vodacom mpesa
plus ile photo pale chini
 
daaah kuna mkeka nilicheza magoli tu wa hela ndefu, roho inapwita pwita. Kila nkitaka kuingia kucheck naogopa ... [emoji23][emoji23] huu mchezo Presha sn. Ngoja niendelee kujidunga bia kwnz ...
Hii inapendeza ukitumia mkeka bet unasikilizia msg ya kawaida ukiona msg inaingia kwaa juu ina jina MKEKABET unajua tayar ila ukiona kimya unajua ushachanika
 
mostly nilikua natumia chrome na tatizo hilo halikuwepo ila nahisi kuna changes zimefanyika hasa kwenye ile picha na yale maneno ya deposit now
voucher
tigopesa
vodacom mpesa
plus ile photo pale chini

dah..kama unatumia simu ni kweli inazingua...kama kwa PC kusolve inawezekana...nadhani wangeanzisha app ingependeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…