jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,773
- 1,614
huu mchezo kwa mtu anayetaka ku lose weight nafikiri unasaidia sanadaaah kuna mkeka nilicheza magoli tu wa hela ndefu, roho inapwita pwita. Kila nkitaka kuingia kucheck naogopa ... [emoji23][emoji23] huu mchezo Presha sn. Ngoja niendelee kujidunga bia kwnz ...
huu mchezo kwa mtu anayetaka ku lose weight nafikiri unasaidia sana
Me kila nkieka hela nyng presha halaf napska ila nkiweka kokoro la buku2 presha hamna na nampsuadaaah kuna mkeka nilicheza magoli tu wa hela ndefu, roho inapwita pwita. Kila nkitaka kuingia kucheck naogopa ... [emoji23][emoji23] huu mchezo Presha sn. Ngoja niendelee kujidunga bia kwnz ...
Hii inapendeza ukitumia mkeka bet unasikilizia msg ya kawaida ukiona msg inaingia kwaa juu ina jina MKEKABET unajua tayar ila ukiona kimya unajua ushachanika
Me kila nkieka hela nyng presha halaf napska ila nkiweka kokoro la buku2 presha hamna na nampsua
Me nlikuwa nakokoro 2 nshapsuka ila hamna presha ! Ningetia nyingi sahv stress zingekuwepo za hatarii mana kl mkeka kaharbu m1[emoji22] [emoji22] [emoji22][emoji28][emoji28] Chief, mi mwenyewe sio km nliweka stake ya kutisha ... ila potential hela ambayo nitakula au nimeikosa ndo inanipa kitete cha kuangalia mikeka yangu (iko miwili). Ngoja nilale nitaiangalia kesho, nsije nkakosa ucngz bureee ....
Nahisi ni mkeka bet nimesahau password kakamimi leo natembea na "home win" View attachment 392926
Safi sanaaa...!!! ila usirudie tena kuweka stake ya hivi hatutaki kukusikia sports extra umekufa kwa presha
unamoyo! mi nixaweka stake kubwa nikala, ila prexa ya mech cikurudia tena
unaroho ya chuma mkuu duuu but hongera
uliweka kias gan kakaunamoyo! mi nixaweka stake kubwa nikala, ila prexa ya mech cikurudia tena
Sent from my Y3 using JamiiForums mobile app
hongera mkuuuBasi kwa uweza wake na zote zikawa kijani, kodi ya 200K ikalipwa na 900K ya ticket ikapatikana ...
View attachment 393273
weka namba ya simu pale pa kusign click forget paswordNahisi ni mkeka bet nimesahau password kaka
hongera kakaBasi kwa uweza wake na zote zikawa kijani, kodi ya 200K ikalipwa na 900K ya ticket ikapatikana ...
View attachment 393273
nliweka 1ml, dakika ya 60 roma kapigwa 2-1 nikalala kwa majonzi hata kabla mechi haijaixa huku nikiwaza hatima ya tumbo kexo itakuwaje,uliweka kias gan kaka