TreniDuh mzee @lwavi hii hatari odds mlima lakini zilitembea sio kitoto, Leo pia siku 💪
Hakuna uhakika. Risk ni ile ile. Kuna match itatoka 0-0 hapo utashangaa
Sema upo vizuri kwenye odds mlima mkuu me nikijaribu kusuka odds zaidi ya mbili tu chalii, kwahiyo napenda odds mbili na kushuka chini,,0⁰w47
Treni
5U4MMS
Hakuna uhakika. Risk ni ile ile. Kuna match itatoka 0-0 hapo utashangaa
UEFA ngumu sana vinginevyo ucheze liveSema upo vizuri kwenye odds mlima mkuu me nikijaribu kusuka odds zaidi ya mbili tu chalii, kwahiyo napenda odds mbili na kushuka chini,,
Hakika mkuu ni maajabu tupuUEFA ngumu sana vinginevyo ucheze live
Tatizo we jamaa ni mbishi mno.Hakuna uhakika. Risk ni ile ile. Kuna match itatoka 0-0 hapo utashangaa
Kwanini unasema hivyo? Umeaza leo kubeti mkuu?
Me ni mkamalia mkongweKwanini unasema hivyo? Umeaza leo kubeti mkuu?
Wale mia mia tukutane hapa
Mkongwe unasemaje uhakika?Me ni mkamalia mkongwe
Naheshimu mtazamo wako MkuuMkongwe unasemaje uhakika?
Kwanini unasema hivyo? Umeaza leo kubeti mkuu?
Hao ndo watu wa kamariDah anamwaga majamvi kama njugu
utajua ukila hyo hela😀😀Wakuu nikila 50Milioni naitoaje