Umepiga ngapHatimae Aviator imelipa leo
tarehe 13/12/2025
saa 9:45 alasiri
Ahsanteni sana Betpawa
Odds za Aviator kufike 900+ iliyosababishwa na game ku-stuck Mungu awazidishie sana elfu 10 yangu imenipa hela ya kwenda kumalizia kibanda changu vikindu
kweli Yajayo_yanafurahishaHatimae Aviator imelipa leo
tarehe 13/12/2025
saa 9:45 alasiri
Ahsanteni sana Betpawa
Odds za Aviator kufike 900+ iliyosababishwa na game ku-stuck Mungu awazidishie sana elfu 10 yangu imenipa hela ya kwenda kumalizia kibanda changu vikindu
Duh 🤔Du nimechukia sana kuna mkeka nimechanganya option nikaweka home or away 🙄🙄🙄🙄 badala ya home or draw....nisha kosa pesa kizembe sana japo nime urebet nione kama ningekula
Neema hiyoHatimae Aviator imelipa leo
tarehe 13/12/2025
saa 9:45 alasiri
Ahsanteni sana Betpawa
Odds za Aviator kufike 900+ iliyosababishwa na game ku-stuck Mungu awazidishie sana elfu 10 yangu imenipa hela ya kwenda kumalizia kibanda changu vikindu
Du kama vi cashout vinaanza kupanda ! Leo nina matreni ma 4 tu matatu niliyo post humu ..moja sija post ni ngumu kumeza ili hapa
Du huu mkeka wa sh12000 sijui kwanini nime cash out sh2000 wakati unakwenda kuwin🤔🤔🤔Du kama vi cashout vinaanza kupanda ! Leo nina matreni ma 4 tu matatu niliyo post humu ..moja sija post ni ngumu kumeza ili hapa
Hahahahah mkuu Mimi huwaga sitaki hongo saivi, kama mbwai mbwai tu, niliwahi cash out mwaka Jana wakicheza Arsenal na man city, nilimpa mancity Ashinde au draw bahati mbaya akapewa kadi nyekundu, wakiwa mbili kwa moja arsenal anaongoza na dakika tisini zimeisha wakaongeza dakika kama tano hivi, nikaona nitoe hata kidogo tu dah Ile nabonyeza tu wanaweka man city. Aloo nilichoka, saivi nikiweka tu mkeka najifanya bize tu. iliuma Sana harafu pesa ndefu Sana.Du huu mkeka wa sh12000 sijui kwanini nime cash out sh2000 wakati unakwenda kuwin🤔🤔🤔
Ndiyo dawa ule wa odds 220 ilibaki kidogo tu nao kumpiga kanji ...kesho nitafanya tathimini ya mikeka yote mitatu nione zimechana ngapi ?...Hahahahah mkuu Mimi huwaga sitaki hongo saivi, kama mbwai mbwai tu, niliwahi cash out mwaka Jana wakicheza Arsenal na man city, nilimpa mancity Ashinde au draw bahati mbaya akapewa kadi nyekundu, wakiwa mbili kwa moja arsenal anaongoza na dakika tisini zimeisha wakaongeza dakika kama tano hivi, nikaona nitoe hata kidogo tu dah Ile nabonyeza tu wanaweka man city. Aloo nilichoka, saivi nikiweka tu mkeka najifanya bize tu. iliuma Sana harafu pesa ndefu Sana.
Sasa hivi nau pambania huu nirudishe pesa yangu na faida kidogo ...huu ni mwendelezo wa ule mkeka uliochanika wenye option ya home or away kumbe kuna mechi mbili nilicheza hiyo option bila kujua ...kwenye hiki kipande cha rebet nimeona mechi nyingine moja nimeweka home or away ...nayo inaleta shida .. hata siku moja sichezagi hii option.Hahahahah mkuu Mimi huwaga sitaki hongo saivi, kama mbwai mbwai tu, niliwahi cash out mwaka Jana wakicheza Arsenal na man city, nilimpa mancity Ashinde au draw bahati mbaya akapewa kadi nyekundu, wakiwa mbili kwa moja arsenal anaongoza na dakika tisini zimeisha wakaongeza dakika kama tano hivi, nikaona nitoe hata kidogo tu dah Ile nabonyeza tu wanaweka man city. Aloo nilichoka, saivi nikiweka tu mkeka najifanya bize tu. iliuma Sana harafu pesa ndefu Sana.
Duh kongore mkuu me saivi roho mbaya tu ukicash out unatiki harafu unajikuta unaudhika Sana , huu wa 12000 Nikitaka nitie ten wote umetembea, harafu mix by yas hawakutaka niishi poa imeniuma hadi saivi mtonyo haujaingia sportybet dah.Ndiyo dawa ule wa odds 220 ilibaki kidogo tu nao kumpiga kanji ...kesho nitafanya tathimini ya mikeka yote mitatu nione zimechana ngapi ?...
Huo ulikuwa na odds 26 ungetia 10k ungekula laki 260000Duh kongore mkuu me saivi roho mbaya tu ukicash out unatiki harafu unajikuta unaudhika Sana , huu wa 12000 Nikitaka nitie ten wote umetembea, harafu mix by yas hawakutaka niishi poa imeniuma hadi saivi mtonyo haujaingia sportybet dah.
Hii kuchanganya option mda mwingine inazingua unashtuka baadae Sana juzi Barcelona nilijua nimeweka over 2.5 kwa mechi yote kumbe nimempa tu Barcelona Goli Tatu pekeake nilichoka,Sasa hivi nau pambania huu nirudishe jesa yangu na faida kidogo ...huu ni mwendelezo wa ule mkeke uliochanika wenye option ya home or draw kumbe kuna mechi mbili nilicheza hiyo option bila kujua ...kwenye hiki kipande cha rebet nimeona mechi nyingine moja nimeweka home or away ...nayo inaleta shida .. hata siku moja sichezagi hii option.
Huohuo mzee an hadi time hizi pesa haijafika dah kesho ingekuwa shereheHuo ulikuwa na odds 26 ungetia 10k ungekula laki 260000
Mimi nilijichsnganya mwenyewe... Option ninazo cheza nimeziweka kwenye my flavour ...sasa nikaenda kwenye main kuipa mechi moja over 0.5 hapo ndipo nilipo koroga ..nikajikuta nacheza HOME OR AWAY ❌ yani leo nilijua kabisa nitakula japo laki 2Hii kuchanganya option mda mwingine inazingua unashtuka baadae Sana juzi Barcelona nilijua nimeweka over 2.5 kwa mechi yote kumbe nimempa tu Barcelona Goli Tatu pekeake nilichoka,
Dah pole mkuu siku hazigandi, kila hatua dua. Kesho nayo siku atapatikana tu.Mimi nilijichsnganya mwenyewe option ninacho cheza nimeziweka kwenye my flavour ...sasa nikaenda kwenye main kuipe mechi moja over 0.5 hapo ndipo nilipo koroga ..nikajikuta nacheza HOME OR AWAY ❌ yani leo nilijua kabisa nitakula japo laki 2
leo ilikuwa uhakikaNimerudisha pesa tu niliyo betia
Du! leo ilikua siku Yako ya bahati ila ndo hukujua. Ila boredha stake mkuu hujui siku Yako ni ipi.Hapa nime stake shilingi 10 odds 400+ ila ninge stake 1000 ningeliwa🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹😅😅😅😅View attachment 3515295View attachment 3515296View attachment 3515297View attachment 3515298