KOROSHO BOMBA
Senior Member
- May 11, 2024
- 186
- 313
Sichezagi hicho kindege ila bado sijaamini kindege kufikisha odds 900. Naonaga mara nyingi kinaishia 3 mpaka 5.Hatimae Aviator imelipa leo
tarehe 13/12/2025
saa 9:45 alasiri
Ahsanteni sana Betpawa
Odds za Aviator kufike 900+ iliyosababishwa na game ku-stuck Mungu awazidishie sana elfu 10 yangu imenipa hela ya kwenda kumalizia kibanda changu vikindu
Mimi nimewahi kukishuhudia kikifika odds 200+ lakini wakati huo nilikuwa sijaweka helaSichezagi hicho kindege ila bado sijaamini kindege kufikisha odds 900. Naonaga mara nyingi kinaishia 3 mpaka 5.
Wakuu leteni tips hapa nifikishe million 1Mmeamkaje wakamaria?View attachment 3515315
Shukrani kwa Raphina jana na own goals za wolves zimeokoa mikeka mingi!
Hii game ya mwishobet pawa..
A6RK89B
Dah ungeweka ten ungekua pazuriHapa nime stake shilingi 10 odds 400+ ila ninge stake 1000 ningeliwa🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹😅😅😅😅View attachment 3515295View attachment 3515296View attachment 3515297View attachment 3515298
hatar sana kwel kubet ni bahatDah ungeweka ten ungekua pazuri
Hao Spurs usiwazoee sana sio watu wazuri. Akikupa ushindi mechi Moja, mechi inayofuata Kaa nae mbali.Dah spurs anaenda kutuua aise
Usichukue sikiliziaBado mechi moja, werder Bremen vs Stutgart kupata shilingi laki nne kwa stake ya buku. Option ni any team to score 3 goals or more in a row. Nimeweka No.
Au nichukuwe tu hiki kidogo.
Usichukue sikilizia
Hiyo nayo nzuri baki na mmojaHapa Ndio nagunduwa kuwa Hii mechi iko kwenye mikeka 2 iliyo baki na option ni hiyohiyo. Bora ni cashout halafu nisikilizie ule mmoja ambao ukishinda napata laki tatu na themanini. Ingawaje kanji ananishawishi ku cashout nichukuwe laki na sabini. Nisije nikakaza fuvu halafu hii timu ikaharibu mikeka yote 2View attachment 3515624
Naona stuttgart anaongoza 3-0 dakika ya 89Bado mechi moja, werder Bremen vs Stutgart kupata shilingi laki nne kwa stake ya buku. Option ni any team to score 3 goals or more in a row. Nimeweka No.
Au nichukuwe tu hiki kidogo.
Paripesa matapeliView attachment 3515855
BET OF THE DAY ⚽
Code👉 GJM8E
📌Jisajili PariPesa Kupitia Link Hii 👇
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code Andika👉 TIPS2424
Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Kujisajili Upate Bonus Ya Mpaka 300,000.
PariPesa App👉: https://paripesa.bet/tips2424app