itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
π πKwanini umetolea mfano wa mademu na pombe.! Jana nililewa sana na nikasepa na demu...
Nilitumia zaidi ya laki hapa na mtaji wa buku twenti nataka nibet walau kesho nisikose tena bar [emoji481]
Oi mi tangu nilipokoswa koswa na risasi tarehe 29... Nimegundua maisha n kitu cha thamani sana ukipata nafasi we furahi tu man [emoji3][emoji23] [emoji119]
Oi mi tangu nilipokoswa koswa na risasi tarehe 29... Nimegundua maisha n kitu cha thamani sana ukipata nafasi we furahi tu man [emoji3]
hao na villareal ni matapeli ππYoung boys matako yake
Na kanji anasema leo kuna helaLeo kuna hela
π Nimetolea mfano wa mademu kwasababu nyege haijawahi patiwa suluhisho la kudumu (nyege zinarudi tena na tena kwa Kasi ya ajabu) na ukihonga demu ni umepoteza pesa kwa 100% hakuna chance of winning na siku ukiishiwa hao mademu wanakudharau wanakutema ila ukiiwekeza kwa kanji angalau kuna 50% chance of winning na hata ukiishiwa kanji anakupa gift au welcome back bonus ya kutosha. Kwaiyo kanji ni rafiki mwema sana kuliko hao mademu jau sana hao.Kwanini umetolea mfano wa mademu na pombe.! Jana nililewa sana na nikasepa na demu...
Nilitumia zaidi ya laki hapa na mtaji wa buku twenti nataka nibet walau kesho nisikose tena bar [emoji481]
Kabisa mkuu!!Yep ndio mkuu kila mtu Ashinde mechi zake anayehonga malaya ahonge na wawekezaji tuwekeze,. Hivo tu
Ameharibu shughuliJana nimeruka ruka ila mjinga mmoja akanidungua
Ndio mkuu me nikitia hela kubwa nazingatia odds mbili kushuka chini sometime mechi moja tu, inakuwa shegaπ Nimetolea mfano wa mademu kwasababu nyege haijawahi patiwa suluhisho la kudumu (nyege zinarudi tena na tena kwa Kasi ya ajabu) na ukihonga demu ni umepoteza pesa kwa 100% hakuna chance of winning na siku ukiishiwa hao mademu wanakudharau wanakutema ila ukiiwekeza kwa kanji angalau kuna 50% chance of winning na hata ukiishiwa kanji anakupa gift au welcome back bonus ya kutosha. Kwaiyo kanji ni rafiki mwema sana kuliko hao mademu jau sana hao.
Mimi laki moja kama hiyo huwa naiweka kwa kanji, siwezi kunywa pombe. Kwenye Uefa iliyopita Villarreal alinitapeli laki Moja yangu ila nikacash out elf 30 baada ya kuona mpira wanaocheza haueleweki. Nilipo rebeti hiyo elfu 30 PSG nae akanitapeli, kwaiyo ndo maisha yetu hayo.
Mimi huwa nacheza matreni natia mia au mia mbili mwisho yaani nikiwekaga kuanzia jero kupanda hata kama ni timu moja sijawahi kutoboa sijui kwaniniN
Ndio mkuu me nikitia hela kubwa nazingatia odds mbili kushuka chini sometime mechi moja tu, inakuwa shega
Dah pole sana kamanda ila ukiona nakula Bata hapo ujue kanji pia kahusika.. maana kweli swala la kujiripua Niko chapu sana...[emoji3] Nimetolea mfano wa mademu kwasababu nyege haijawahi patiwa suluhisho la kudumu (nyege zinarudi tena na tena kwa Kasi ya ajabu) na ukihonga demu ni umepoteza pesa kwa 100% hakuna chance of winning na siku ukiishiwa hao mademu wanakudharau wanakutema ila ukiiwekeza kwa kanji angalau kuna 50% chance of winning na hata ukiishiwa kanji anakupa gift au welcome back bonus ya kutosha. Kwaiyo kanji ni rafiki mwema sana kuliko hao mademu jau sana hao.
Mimi laki moja kama hiyo huwa naiweka kwa kanji, siwezi kunywa pombe. Kwenye Uefa iliyopita Villarreal alinitapeli laki Moja yangu ila nikacash out elf 30 baada ya kuona mpira wanaocheza haueleweki. Nilipo rebeti hiyo elfu 30 PSG nae akanitapeli, kwaiyo ndo maisha yetu hayo.
Hapa nikiweka 10k yangu nina uhakika wa lakiodds 10 Betway πΉπΏ
BW2A852CFA ( 12 Teams.)
Mimi napenda KEKA APP ya HANSCANA - Professional wacheza kamariKaribuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Leta mikekaMimi napenda KEKA APP ya HANSCANA - Professional wacheza kamari
Ipoje hii app?Mimi napenda KEKA APP ya HANSCANA - Professional wacheza kamari