Kaka lete ya leo moja kali. Leo najilipua na kilo baada ya jana kutoka nyutro
Meridian wamenipa Bonus ya 8000, nikiweka hii pesa nikapiga pesa, ntaweza kuitoa?
Duh we jamaa mzorfu wa mbetkama kawa kaka nimekula laki mbili na usheee! Nasubili m bet wanirushie!
View attachment 183997
mkuu nieleweshe hapo kwenye hizo double..treble..fourfold..fivefofd n.k yaan ukiweka mpunga humo maana yake nini?
kaka hii ina appy hata hapa kwny live bttng ya meridia ama? Coz napo huwa naona hz point ila nashndwa kucheza kwa kuogopa
View attachment 184017ukiletewa ujumbe huu kwenye iplay& maana yake nn?
Hahaha mie nampa Japan 120000 faida 80000
kuna kitu moyoni kinaniambia Japan vs Venezuela, japan anapigwa hii Game..... ngoja niuskize moyo wangu, nampa Venezuela, Please, naomba hii game nife kivyangu, dont follow me
Dah hyo ya code ya posta nilisha verify ila hiyo ya passport/national id/driver licence ndo ina nisumbua hadi leo maana sina hizi document ila ngoja nijitahidi kutafuta hata driver licence nami nianze kuwala
Wale mnaobetia meridian mnatumia hii app ya meridian bet au mnatumia browser ya kawaida? Mana hii app km inasumbua net
kama kuna kundi lipo la watsap beeting inakuwa rahis hat kwa wale wanaocheza online wanapata data mapema na mikeka inafika kirahiusi kwa mtu ingekuwa vizur mtu add watsap
Mi sina laini ya voda ila na account blaclays je haiwezekani kudeposit kwa bank ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
England,Germany,Italy,Denmark na montenegro
kuna kitu moyoni kinaniambia Japan vs Venezuela, japan anapigwa hii Game..... ngoja niuskize moyo wangu, nampa Venezuela, Please, naomba hii game nife kivyangu, dont follow me
tujipe pole tukiompa japan,,,, mapemaaaa mkeka unchanika....