Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kuna kitu moyoni kinaniambia Japan vs Venezuela, japan anapigwa hii Game..... ngoja niuskize moyo wangu, nampa Venezuela, Please, naomba hii game nife kivyangu, dont follow me

Daaah mkuu, nimepigwa za uso hizo ila matata, mtaji umekatika naanza kula faida
 
Kama ulisajili na namba tofauti waweza kuibadili
-My account
-Personal data
-Phone [Jaza namba yako ukianza na +2557...... au +2556.....]
-OK

Mie kwangu ipo sawa kwenye browser ya simu lakini app inasumbua sana kuliko kwenye browser mkuu

Ok bro
 
Ila kuweni makini na friends mechi wachezaji hawajitumi sn

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hatimaye japan kachana mkeka. Duh, machale yalinicheza sana katika hizi mechi za kirafiki sio mechi za kuamini
 
Daaah mkuu, nimepigwa za uso hizo ila matata, mtaji umekatika naanza kula faida

mkuu hawa venezuela wako juu zaidi ya japan, sema ndo mpira ulivyo. kesho pia ni siku, dnt worry Dude, pole sana..... unampango wakuweka mkeka mwingine tena leo?
 
Mkuu usifanye maisha kuwa magumu... Ww sajili Namba ya mpesa ni less than 1500 then Uwe unatumia kw transactions.

Au kama huwezi Kuna option ya ku withdraw kwa mawakala waliopo mjini

Mkuu biohazard leo nakuona unazurura tuu jamvini, hujatupia hata moja ya ushindi. Mimi sasa hivi hizi friendlies naziogopa. Nasubiri mashindano baadae. Tupia game moja ya ushindi ya dau refu.

Japan kanipunyua aisee. Ile HT niliona odds za UO 1.5 ziko poa nikajitosa humo. Niliogopa kumpa win huyu japan.
 
Mi nimeshapata laini ya voda naelekea meridian shopers kujisajili sijui ntawahi mechi za saa kumi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mi nimeshapata laini ya voda naelekea meridian shopers kujisajili sijui ntawahi mechi za saa kumi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Mkuu upo wapi kwani.? Si ungeenda manualy bet shop yoyote ya meridian udeposit pesa.? Then hiyo line ushughulikie taratibu.? Maana huchukua mpaka lisaa limoja kwa pesa uliyodeposit kwa MPesa kuonekana katika akaunti. So kwa maana hiyo mechi za saa 10 hutoziwahi.
 
Mi nimeshapata laini ya voda naelekea meridian shopers kujisajili sijui ntawahi mechi za saa kumi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

unajisajili tu online sio kwa shop zao, then unadeposit kupitia mpesa
 
Kama ulisajili na namba tofauti waweza kuibadili
-My account
-Personal data
-Phone [Jaza namba yako ukianza na +2557...... au +2556.....]
-OK

Mie kwangu ipo sawa kwenye browser ya simu lakini app inasumbua sana kuliko kwenye browser mkuu

Mkuu hapo kwenye kubadili namba nielekeze vizur maana siioni hiyo option ya my personal data
 
Leo nimepigwa ngumi za uso nyingi sana 130000 imeondoka
 
Mkuu biohazard leo nakuona unazurura tuu jamvini, hujatupia hata moja ya ushindi. Mimi sasa hivi hizi friendlies naziogopa. Nasubiri mashindano baadae. Tupia game moja ya ushindi ya dau refu.

Japan kanipunyua aisee. Ile HT niliona odds za UO 1.5 ziko poa nikajitosa humo. Niliogopa kumpa win huyu japan.

Mkuu nitaweka timu kabla ya saa 12 jioni, sahizi kuna strategy naifatilia lakini naona matunda yake ni mazuri mkuu.

Kuna hela ya bure ngoja iweke screenshot utaona kwa macho.
 
Hii strategy ya VFL yani Virtual footbal ya iplay8casino inahusika sana manake pesa ipo nje nje

angalia majaribio ambayo cjapata loss hata moja, ndo maana nimekua kimya sana leo

Iplya8casino.PNG

Nilianza na USD 10
 
china nae anaelekea kuchana mkeka wangu mwingine,,,,,, uuuuwiiiiii yethu na maria na yethofu naomba Mungu china wapate goal dk hii ya 90+ :embarrassed:
 
Nimefunngua account ila nimewapa mpunga italy sijui italy gani mi nilitaka under 21 nikajikuta nimesubmit anyway ngoja niskilizie

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom