Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii ni safari ya siku 3,
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-28-15-25-58-967_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    110.8 KB · Views: 24
Jana bukinafaso kachana treni limebaki moja ila mimi nili REBET YANAENDELEA JUMLA MATRENI MATATU ....LEO NIMEONA NI SHEHE CODE HII NGUMU KUMEZA KIDOGO ODDS 261 HIVI MECHI 14 ..Uwezekano wa kula ni asilimia 70% na ODDS400

πŸ‘‰ ODDS400 5MHQSB

πŸ‘‰ ODDS261 5JESC5
 

Attachments

  • Screenshot_20251229-082620_SportyBet.jpg
    68.8 KB · Views: 19
  • Screenshot_20251229-105748_SportyBet.jpg
    64.3 KB · Views: 22
πŸ™πŸΏ
 
View attachment 3522107
Jamani hii kampuni ya 1win nani anaijua nimekula kila nikitoa hawataki sio matapeli Hawa,
Tangu Jana wananizungusha tu wapumbavu hawa
Mkuu kampuni nyingine sio za kufanya nazo kazi, Mimi situmii tena kampuni za Kuja na kutoka,, niliwahi tumia betwinner na 888, na 1XBET, an complication nyingi tofauti na sportybet au sport pesa au meridian,, nimeacha pesa yangu betwinner, nikafuta na app yenyewe,. Hao Wanataka wakukule tu ukila ugomvi,, kampuni za hivo wanarahisisha kuweka hela, kutoa ni shida tupu,. Ushauri kama Wana office nenda kama Wana mitandao ya kijamii au namba za simu watafute, na mwisho, wawekezaji tujitahidi kuwekeza pesa sehemu salama hata siku ukila hakuna kukimbiana.
 
Nilichukua hiyo code mkuu ngoja tusubiri
 
View attachment 3522205
AFCON ⚽

CodeπŸ‘‰ DNQNQ

Kampuni: DbBet

πŸ“Œ Jiunge DbBet Kwenye Link HiiπŸ‘‡

Jisajili Hapa

Jisajili Hapa

Tumia Promo Code πŸ‘‰ SASA1
Huyu rofa mwingine katoka wapi kwani nyuzi za matangazo amzijui ....lengo lenu ni matanzazo siyo code wala kuelimishana .... sijui hawa ma mod wanafanya kazi gani au tuanzishe uzi mpya wa kampuni la sportbet tu tuachane na hawa washenzi wa sisiemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…