Sio lazima fanya upendavyoMajina ya no ya simu kufanana na ya account 🙄 ni kigezo cha kishenzi ....wengine wanatumia majina feki kwa usalama wao ...kampuni za kifara hizo ...nikila hela natoa kwenye simu sitaki mashariti ya vitamburisho wala bank account...
Mali anazinguaGame ya Roma ilikuwa na odds tamu za over 2.5 goals zimetoka dakika za asubuhi tu
Mkuu, Mali alikua anahitaji sare tu Ili afuzu. Tuwe tunaangalia na malengo ya timu kabla ya kuwekeza. Mimi nilimpa win/draw.Mali anazingua
Al ahly,zamalek,pyramids wote ni matapeli
KAA kitaalamu ofisa,.
Championship sio mahal salamaHizi timu za championship zimeniharibia treni langu
Sitaki tena kuwasikia Hao aloo middlesbrough Jana balaaaHizi timu za championship zimeniharibia treni langu
Eti Midlesbrough anashindwa ku secure share tuSitaki tena kuwasikia Hao aloo middlesbrough Jana balaaa
Wale ******* Wanachama mikeka aiseeChampionship sio mahal salama
Wahuni kabisa wazi waziEti Midlesbrough anashindwa ku secure share tu
Championship hawatakaa tena kwenye treni langu
Kuna kipind hata over 0.5 inagomaWale ******* Wanachama mikeka aisee
Nimewajaribu mara nyingi, hawatakaa kwenye jamvi langu tena
Hii week yote Kanji kanipuna tu.Kuna kipind hata over 0.5 inagoma