JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Matusi humu sio mahara pake na sio ustaarabu ukiona mtu kakosea nawewe ukawa muelewa ni haki kua mwalim wake kwa mda na kumwelekeza kwa lugha nzuri,asa mr pipa ndio wakumuwekea hasira ungejua matus mi ndio nafeel kuliko chochote sizan kama utakuwa na tus mpya afu mi nipo miaka nenda rud humu toka uzi una page 2 mpaka leo salute jitu bandi na wenzake kitambo sana
Watu wa hizo code wanachanisha sana mikekaView attachment 3546249
BET OF THE DAY β½
Site: PariPesa
Codeπ VVF2K
π Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Codeπ SASA1 Upate Bonus Ya 300%.
Jisajili Hapa π
https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Codeπ SASA1
Kama ni mkeka wa kula utakula tu ,kama mkeka wa kuliwa hata uufiche uvunguni utaliwa tu.Kuna mtu humu alisema mkeka wako ukiuweka hapa huwezi kula kamwe. Nimeamini.
Kampuni gani hii na Code ni ipi hapo?View attachment 3546435
Matokeo ambayo hayatakiwi hapa ni 0-0 na 1-1 tu. Matokeo mengine yeyote unatiki kazi kwenu
Nimependa ujumbe wako wa mwisho kwa KobaziJANA SIJALA HATA MKEKA MMOJA π NIPEPIGWA NA KANJI VIBAYA SANA π sasa leo nimeona nije kwa nguvu kali Sana huu mkeka ninao post unatakiwa kuendelea kuucheza kwa kufanya positive edit na kutoa mikeka mingine ya odds za chini zaidi ..nawaakikishieni atakaye cheza huu mkeka na kufanya positive edit ya huu mkeka kwa kushusha odds lazima ampige kanji maana huu mkeka zikichana basi ni mechi moja au mbili au tatu .
Sportbety
5N6YG7
Kobaz pigeni pesa ya daku bet siyo haramu ..haramu ni kuongozwa na jini adriz FaizaFoxy Jagina Covax Al-mukheef
Hii nimefanya positive edit ...endeleeni kufanya edit odds zishuke hado 80 hiviWeka code ili tufanye editing
Mkuu Mimi 1XBET na betwinner, nilishagoma kutumia kutoa pesa masharti kibao mpaka betwinner niliacha na 15 elfu nikafuta na app yenyewe,, saivi ni sportybet tu,Wakuu, Hawa 1xbet mbona wadhumati hivi.. kuweka wanapokea kutoa sasa hawatoi hela.. hivi hawajui kuwa tunashinda mikeka kwa tabu sana..
Kumamamae Hawa 1xbet
Sportybet wanatumia na Bank za Bongo kama Hawa 1xbet..?Mkuu Mimi 1XBET na betwinner, nilishagoma kutumia kutoa pesa masharti kibao mpaka betwinner niliacha na 15 elfu nikafuta na app yenyewe,, saivi ni sportybet tu,
Naona wanatumia mitandaoni ya simu tu mkuu sijaona option za bankSportybet wanatumia na Bank za Bongo kama Hawa 1xbet..?
Sporty bet ndo kitu cha uhakika. Hainaga mbambambaMkuu Mimi 1XBET na betwinner, nilishagoma kutumia kutoa pesa masharti kibao mpaka betwinner niliacha na 15 elfu nikafuta na app yenyewe,, saivi ni sportybet tu,
Hakika mkuuSporty bet ndo kitu cha uhakika. Hainaga mbambamba
Option ya bank moja kwa moja siyo nzuri muwe mnatumia akiliNaona wanatumia mitandaoni ya simu tu mkuu sijaona option za bank