Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana nimemkosa kanji milioni 11 kwa sh 500 baada ya mechi moja kuchana ..sasa hivi nimedandia live hii nikuze mtaji tuendelee kubetia pesa za kanji
Wanalia sana hizi wiki tatu zimekua za moto sana
 
" Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo"

Za siku mingi wazee, nimepotea kitambo humu ndani, hope vita ni kali sana kati yenu na bhai 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…