Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
sana mkuu uwe una share basi hizo hizo 3 odds inakua safiNikicheza game 3 za rollover per day sikosi odds 3 au 4 inatosha sana
sana mkuu uwe una share basi hizo hizo 3 odds inakua safiNikicheza game 3 za rollover per day sikosi odds 3 au 4 inatosha sana
nilifanya hivyo pia kwenye game ya Germany hiyo nilierka gg, spain ove 1.5, England 1up , na france over 2.5 ohh ilika vizuri sema England alichelewa sana kupata goli nilitaka ni cashout ila nikawa na uvumilivu ikatoaNiko poa mkuu, saivi mimi napiga single ya odds 1.5-1.7 hapo then nafanya rollover game inayofuata
Duu! Hiyo ni mil 23 kwenye mil 28 haku cash outWalikuwa wanasubil game ya Portugal Vs Mexico ndio ilikuwa ya mwisho, Shot story Mkeka ukachanika
iliteketea hiyoKwani hapa ilikuwaje wakuuView attachment 3564053
mechi nilikua nayo na machale hiyoDuu! Hiyo ni mil 23 kwenye mil 28 haku cash out
ina maana haku cashoutKwani hapa ilikuwaje wakuuView attachment 3564053
Aliiicha anasema anataKa na milloni Tano iliyobakiina maana haku cashout
Ureno hawajielewiWalikuwa wanasubil game ya Portugal Vs Mexico ndio ilikuwa ya mwisho, Shot story Mkeka ukachanika
anza basi mdau odds 5 za 100%Leten mikeka yamamilion
cashout inakuaga kimtego sana haitabiriki unaweza cashout na ikatoa😂Aliiicha anasema anataKa na milloni Tano iliyobaki
Noma sana aiseeWalikuwa wanasubil game ya Portugal Vs Mexico ndio ilikuwa ya mwisho, Shot story Mkeka ukachanika
hatariWalikuwa wanasubil game ya Portugal Vs Mexico ndio ilikuwa ya mwisho, Shot story Mkeka ukachanika
its seem the booking code no longer exist or expiredBetPawa 6L5TEZ