Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mtumishi una bet?
mbona ipo wazi usibeti kitu ambacho kilikua ni akiba yako ya mwisho hiyo inakua dhambi ila kama ni pesa za ziada unacheza vizuri tu, hamsomi vitu vijana 😂😂😂 nisianze mahubiri hapa,usiogope ila hakikisha usiweke pesa ya chakula ya familia yako ikiliwa inakuingiza kwenye umasikini hiyo sasa inakatazwa uwe na imani mtumishi tucheze
 
mbona ipo wazi usibeti kitu ambacho kilikua ni akibaka yako ya mwisho hiyo inakua dhambi ila kama ni pesa za ziada unacheza vizuri tu, hamsomi vitu vijana 😂😂😂 nisianze mahubiri hapa,usiogope ila hakikisha usiweke pesa ya chakula ya familia yako hiyo inakatazwa uwe na imani mtumishiUni
 
mbona ipo wazi usibeti kitu ambacho kilikua ni akibaka yako ya mwisho hiyo inakua dhambi ila kama ni pesa za ziada unacheza vizuri tu, hamsomi vitu vijana 😂😂😂 nisianze mahubiri hapa,usiogope ila hakikisha usiweke pesa ya chakula ya familia yako hiyo inakatazwa uwe na imani mtumishi
Uje unipe somo vizuri maana wanasema hii ni kamari na ni dhambi.
Nitahitaji homo sasa
 
Uje unipe somo vizuri maana wanasema hii ni kamari na ni dhambi.
Nitahitaji homo sasa
nitafanya hivyo ila kwa haraka haraka usicheze mkeka kwa kutumia pesa iliyobaki yani mfano umebaki na laki moja kwajili ya matumizi ya familia yako ukaweka hela yote hapo sasa inakua dhambi ila kama una laki mbili ukachezesha laki moja ukaacha laki moja ya akiba hiyo haina shida
Piaa usifanye kamari kama sehemu yako kuu ya mapato, unatakiwa uwe na kazi ramsi inayokuingizia mapato ya kuajiri au kujiajiri ,lakini ifanye betting iwe sehemu ya mchezo,kuburudika lakini sio sehemu ya kuitegemea kwa kipato asilimia 100 hapo unakua unakosea na ni dhambi,

pia Mungu wetu hatujaji kama mwanadamu anangalia moyo wako unavyomtumkia na unavyomnyenyekea basi
 
Hiyo event ya kwanza Wa away ana red card ♦️, kwahiyo Goli 1 tuna uhakika Wa Zaidi ya 70% na ikiwezekana home anashinda
Screenshot_20260329-141209_SpinBetter.jpg
wapo HT now
 
leo naomba niwashirikishe fursa niliyoiona kutokana na Tanzania kuwekewa odd kubwa kama atafungwa. Leo Tanzania amewekewa hadi odd ya 70 kwa baadhi ya makampuni,

hii ni fursa ya kipekee ambapo Tanzania ikifungwa basi hela yako itazidishwa mara 70

kwaiyo wakuu leo nimeamua kuwashirikisha hii kwasababu mimi nimeiona fursa siku hii ya leo

IMG-20260329-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom