Mimi nimeweka 500 nipate 40,000ziwahini wakuu mechi inaanza sa kumi, weka ata buku kuna 70k yako baadae
Na wamelimit stake, mwisho ni elfu 10 tu😄wamezipandisha asee ni noma
tumia kampuni nyingineMbona walishaifuta kitambo au mimi nimebaguliwa?
ASubuhi zilifika hadi 100Na wamelimit stake, mwisho ni elfu 10 tu😄
Kwamba ni mbovu sana?ASubuhi zilifika hadi 100
Muhindi atajichannganya leo unajua hizi game hata wachezaji wanatia mikeka mfano mtamu game iliyo pitaKwamba ni mbovu sana?
GAme ya Leo naamin stars atajifungisha wapige pesaMuhindi atajichannganya leo unajua hizi game hata wachezaji wanatia mikeka mfano mtamu game iliyo pita
huu umeenda vizuri sana one match ya ajax tu kama uliitoa maana wakati naweka hapa match hiyo ilikua live ila the rest ni green3 odds chache tu sportbet 50F3C3
unatumia kampuni gani kuchezesha mikeka yako,ina sifa gani mdauHui mkeka niliogopa kushea Mimi mwenyewe nilikuwa na mashaka Sana lakini umetiki japo Kwa mbinde Sana View attachment 3564232
Natumia warusi ambao hawakati Kodi na wawe na mawakala li nikitoa 20,000 kutoka Kwa mrusi, nipate 20,000 mkononi.unatumia kampuni gani kuchezesha mikeka yako,ina sifa gani mdau
WonPana harufu ya Goli hhapaView attachment 3564289