Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niko poa mkuu, saivi mimi napiga single ya odds 1.5-1.7 hapo then nafanya rollover game inayofuata
nilifanya hivyo pia kwenye game ya Germany hiyo nilierka gg, spain ove 1.5, England 1up , na france over 2.5 ohh ilika vizuri sema England alichelewa sana kupata goli nilitaka ni cashout ila nikawa na uvumilivu ikatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…