Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Kwa majina nilivyoandika ndio hivyohivyo ..wewe search ...
HIZI NI ASILIMIA ZA KUFIKISHA GOLI MBILI YANI OVER 1.5 ... Tutatiki wote weekend halafu tutatoa asilimia ya ufulu wetu... Lakini pia tutaangalia hizo nilizowekea * ..... Pamoja mpaka mhindi akimbie ...
 
Mkongwe nataka nirudi mzigoni taratibu .... Nakutupia machaguo machache ...nnayoamini kama Mwanzilishi wetu wa Uzi Master, Muonyesha njia .. kaka Rockcity native daaah tulikuwa Tunabeti wote pale mwanza Tanesco Ofisi za meridian na sokoni vitunguu Ofisi za premier....UKAANZISHA HUU UZI KWA MAWAZO YA WALE WATU PALE ... .MARA PAAP UKAPOTEA BABU...KIPINDI HIYO 2010/11...
 
Weka code mkuu ili mambo yasiwe mengi tupo nyuma ya muda
 
Don’t let Saturday teams confuse you Babaa!

Let luck take its course. We’ve tried so many selections already, Now it’s time to let luck decide. Which market haven’t we tried?!

Block no.32
Live it or leave it!
The choice is yours!
 
Nakubale nakubale jitu la miraba minne...!

✊🏾👊🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…