Jitu Kabejabe
Senior Member
- Jul 2, 2018
- 140
- 164
Thread imepoa balaa, muhindi anakanda via vya uzazi sio kawaida😂😂
✅✅✅5KLBW4..sportybet
Mzee mwenzagu.... Vipi ...Huu nimesha kula japo mechi bado
Utasubiri mpaka yesu anarudi, ushaniona hata siku moja nimepost mkeka wa odds 10 kushuka chini?Kaka hii mikeka yako ushawahi kushinda?
Hahahaha mimi mikeka ya jamaa hata sijisumbuagi kuichukua.Kaka hii mikeka yako ushawahi kushinda?
Me na miezi mi3 mikeka yake hata cashout haitoi ujinga tu na kila akiweka Huwa siachiHahahaha mimi mikeka ya jamaa hata sijisumbuagi kuichukua.
Wewe miezi mitatu???mimi mikeka yake nimeanza kuchukua tokea mwaka 2022 ni lost zote nimekuja kuacha kuichukua 2024 mwishoni yani ni ujinga mtupu.Me na miezi mi3 mikeka yake hata cashout haitoi ujinga tu na kila akiweka Huwa siachi
Sasa si uwe unatuma code sasa???Du leo nimemkosa kanji mamilioni 🙄🙄🙄 matreni yalitembea kitimu kimoja au viwili vimehalibu nimebaki na treni moja tu bado dakika chache liishe ndiyo nipo hapa nasubiri hela yangu 😇😇😇💥
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥kazi ya sh 500 ...ila sina furaha kwa hii pesa kwa sababu nimekosa chupuchupu mamilioni, nilijua leo nakula matren 4 yenye jumla ya milioni kama 12 hivi 😕Du leo nimemkosa kanji mamilioni 🙄🙄🙄 matreni yalitembea kitimu kimoja au viwili vimehalibu nimebaki na treni moja tu bado dakika chache liishe ndiyo nipo hapa nasubiri hela yangu 😇😇😇💥
Hii ndiyo sababu ya kukosa furaha licha ya ushindi matreni ma 5 yaliyo chanika 😕💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥kazi ya sh 500 ...ila sina furaha kwa hii pesa kwa sababu nimekosa chupuchupu mamilioni, nilijua leo nakula matren 4 yenye jumla ya milioni kama 12 hivi 😕