Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20260510-211339.jpg
 
Kaka hata kama ni probability kweli mikeka 1000 na hupati hata mmoja? Hata yote ukiweka over 0.5 no way, yes kukosa kupo Ila sio mwaka mzima hupati hata wa gem 3 😁
Kuna siku niliwahi kusema hapa kwamba kuna mkeka wa odds 160 aliwahi kupost humu nakumbuka ni mwaka huu mwanzoni mimi shahidi niliweka 1k nikapiga 176k ,nashangaa mnavyosema hivo though mkeka akiupost yeye humu amekurahisishia wewe kuona game nyingi na kuzifanyia analysis uedit kulingana odds unazotaka then unatia mzigo na kingine mbn huwa JITU BANDIA anasema kwamba hajawahi kuweka mkeka wa odds 10 humu it means akiweka treni ufanye kuedit



NOTE:HAKUNA MKEKA WA UHAKIKA Alamsiki wakuu
 
Kwenye hayo matreni ninayo post hata kama yamechanika au kuwin kuna elimu ndani yake..nikipost matreni yanachanika na huwa napost sana

Kwenye hayo matreni ninayo post hata kama yamechanika au kuwin kuna elimu ndani yake..nikipost matreni yanachanika na huwa napost sana tu
Mbona kuchanika ni kawaida tu hata usipoiweka kuchana kuko palepale sema siku ya bahati ndiyo unakuta inatokea saa zingine huiweki
 
Wakuu hivi kampuni ya betfix ukishinda hela unazitoaje. Au ni matapeli Kuna mtu ananiambia kashinda hela anashindwa kutoa
 
Back
Top Bottom