mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,136
- 5,175
One day atanasaHii ndiyo sababu ya kukosa furaha licha ya ushindi matreni ma 5 yaliyo chanika 😕
One day atanasaHii ndiyo sababu ya kukosa furaha licha ya ushindi matreni ma 5 yaliyo chanika 😕
Sasa we jamaa codes hutumi halafu unakuja kuturingishia sasa ndio nini????💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥kazi ya sh 500 ...ila sina furaha kwa hii pesa kwa sababu nimekosa chupuchupu mamilioni, nilijua leo nakula matren 4 yenye jumla ya milioni kama 12 hivi 😕
Kwenye hayo matreni ninayo post hata kama yamechanika au kuwin kuna elimu ndani yake..nikipost matreni yanachanika na huwa napost sana tuSasa we jamaa codes hutumi halafu unakuja kuturingishia sasa ndio nini????
✔✔✔5YUWMC..sportybet
🤣🤣🤣watu mnataka mpewe niniKaka hii mikeka yako ushawahi kushinda?
Hongera noma sana, 🙌💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥kazi ya sh 500 ...ila sina furaha kwa hii pesa kwa sababu nimekosa chupuchupu mamilioni, nilijua leo nakula matren 4 yenye jumla ya milioni kama 12 hivi 😕
🤣🤣🤣watu mnataka mpewe nini
Jana galatasary nlimpa awe wa kwanza kupata goal akachana, nikampa bayern corner 5 akachana , leo tena nimempa zenit awe wa kwanza kupata goal amechanaDu leo nimemkosa kanji mamilioni [emoji849][emoji849][emoji849] matreni yalitembea kitimu kimoja au viwili vimehalibu nimebaki na treni moja tu bado dakika chache liishe ndiyo nipo hapa nasubiri hela yangu [emoji56][emoji56][emoji56][emoji95]
Imladi matatizo kila unapowapeleka huku au kule hawatakiJana galatasary nlimpa awe wa kwanza kupata goal akachana, nikampa bayern corner 5 akachana , leo tena nimempa zenit awe wa kwanza kupata goal amechana
Pole sana mkuu. Haya matimu ni pasua kichwa. Leo mm nimempa 10 min x naona imetiki. Goli la kwanza limeingia dk ya 31.Jana galatasary nlimpa awe wa kwanza kupata goal akachana, nikampa bayern corner 5 akachana , leo tena nimempa zenit awe wa kwanza kupata goal amechana
Nlikuwa nimesuka odds 11 zateam kama 7 tu ila hao wajinga ndio wameenda na mkeka wanguImladi matatizo kila unapowapeleka huku au kule hawataki
Moja na nusu kaka kama sijasahau ,hapa nacheki gemu ya arsenal nimempa kona 5 hadi sasa dk ya 14 kona 2 tayari. Ajax nimempa over .5 ila hadi 1st inaisha 0 0 ngoja tuonePole sana mkuu. Haya matimu ni pasua kichwa. Leo mm nimempa 10 min x naona imetiki. Goli la kwanza limeingia dk ya 31.
Game ya mnyama leo saa ngapi mkuu?
Mkuu kwani kuna mkeka wa uhakika au tunacheza na probability😄 hata uki edit mara mia bado unachanika 😄
Option ngumu sana hiyo mkuuJana galatasary nlimpa awe wa kwanza kupata goal akachana, nikampa bayern corner 5 akachana , leo tena nimempa zenit awe wa kwanza kupata goal amechana