Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa we jamaa codes hutumi halafu unakuja kuturingishia sasa ndio nini????
 
Hongera noma sana, πŸ™Œ
 
Du leo nimemkosa kanji mamilioni [emoji849][emoji849][emoji849] matreni yalitembea kitimu kimoja au viwili vimehalibu nimebaki na treni moja tu bado dakika chache liishe ndiyo nipo hapa nasubiri hela yangu [emoji56][emoji56][emoji56][emoji95]
Jana galatasary nlimpa awe wa kwanza kupata goal akachana, nikampa bayern corner 5 akachana , leo tena nimempa zenit awe wa kwanza kupata goal amechana
 
Jana galatasary nlimpa awe wa kwanza kupata goal akachana, nikampa bayern corner 5 akachana , leo tena nimempa zenit awe wa kwanza kupata goal amechana
Pole sana mkuu. Haya matimu ni pasua kichwa. Leo mm nimempa 10 min x naona imetiki. Goli la kwanza limeingia dk ya 31.

Game ya mnyama leo saa ngapi mkuu?
 
Pole sana mkuu. Haya matimu ni pasua kichwa. Leo mm nimempa 10 min x naona imetiki. Goli la kwanza limeingia dk ya 31.

Game ya mnyama leo saa ngapi mkuu?
Moja na nusu kaka kama sijasahau ,hapa nacheki gemu ya arsenal nimempa kona 5 hadi sasa dk ya 14 kona 2 tayari. Ajax nimempa over .5 ila hadi 1st inaisha 0 0 ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…