Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Haukuwa na strategies za kulinda mtaji wako, ndiyo maana ukaaishia kupoteza pesa yote hiyo.Kuna kipindi niliweka bajeti ya million 1.
Kwa ajili ya odds ndogo ndogo mwisho wa siku ikaisha yote nikaanza upya
Saivi nimejufunza kitu.Hiyo laki moja ilipaswa uifanye kama mtaji, na siyo kuistake yote kwenye game moja, kwa odds ndogo, kama 2-3, unapaswa kustake asilimia 5-10 tu ya mtaji wako, hata kama utapoteza unakuwa na nafasi ya kujipanga upya.
Kiufupi ukienda na hiyo njia ya kustake kwa kuzingatia kulinda mtaji wako, betting utaiona ni rahisi sana na haitokupa presha, hata kama utakutana na vipigo, lakini itakuwa ni mara chache sana, unless others wise uwe haujui kabisa kubeti.
View attachment 3602898
Odds 56 saa 8 zinaanza. ATB.
Kuna kipindi niliweka bajeti ya million 1.
Kwa ajili ya odds ndogo ndogo mwisho wa siku ikaisha yote nikaanza upya
inapatkana kampun ganYan unashindwa hata kuweka options ya dakika tano hamna kadi.?
😄
Tunajifunza kutokana na makosa, izo option Huwa nacheza sikuizi vya mikeka ya kimkakatiYan unashindwa hata kuweka options ya dakika tano hamna kadi.?
😄
Day 1 tu mexico katibua mambo 😁Leo nimeanza mpango wa kustake odds chache kila siku. Nataka nipime wakamaria kinachotukwamisha huwa ni tamaa au ni nini. Target yangu ni odds 3 mpaka 4 na mechi zisizidi 6 na kila kitachokuwa kinapatikana nakibetia kama kilivyo option ya ashinde yeyote ila iyo game ya mwisho nmejikuta naingiza tamaa kama kawaida. Nimeamua kuanza na jero, lengo langu ikifika jumatatu ijayo Mungu akijalia tuwe na milioni na ntakuja kugawa mitaji humu ili tuwe tunaenda sambamba
View attachment 3603621
ntawaletea feedback wiki ijayo siku kama ya leo inshallah
.Tumualike siku moja yule mchambuzi wa soka Dr. leak atabiri matokeo ya mechi tutamnyoosha sana kanji
.1153961647616 Standard account
------------------------------------------
[2/2]
1091 15-08 22:00:00 Chelsea-West Ham
Goals I Half I0-1 1.48
0086 15-08 20:45:00 H. Tel Aviv-M. Tel Avi
Goals I Half I0-1 1.34
------------------------------------------
Total: 50000.00
------------------------------------------
Total odd: 1.98
Max payout: 99160.00
Combination count: 1
------------------------------------------
15-08 19:30:38
.hjk kama katumwa vile
Iyo ya Chelsea naiogopa maana ni LONDON DERBY hawakawiii kutoa sare bora ucheze double chance Mkuu