Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20260613-180449.png
 
Kama umecheza kwa edit ya hali ya juu lazima umtungue kanji ..mimi mwenyewe ninayo 11 ila najua uwezekana wa kumtungua kanji ni asilimia 88%
Yah ngoja tusubiri tuone mkuu hata cashout ikikaa vizuri ni kupita nayo tu hakuna kuremba mkuu.

Nimeongeza na huo ulioweka leo japo nimeu-edit kidogo jumla ipo 27 sasa.
 
X.x....
 

Attachments

  • Screenshot_20260613-184523_Chrome.jpg
    Screenshot_20260613-184523_Chrome.jpg
    125.7 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260613-184509_Chrome.jpg
    Screenshot_20260613-184509_Chrome.jpg
    142.2 KB · Views: 16
100 odds - T7ECML

87 odds - NMKPZV

82 odds - QAWL5H

76 odds - NJXLSS

71 odds - L8LG86

68 odds - QWGD1F

Edit at ur risky
All d best
 
Wakuu na mimi naanza ku,join kwenye hii challenge matreni sishushi.
Nitakuwa naweka
Bet za world cup siku ya mechi husika
Kwa mechi 1 odds 2+

Na kama kwa siku game 3 basi naweka odds.
6+
Mimi mikeka yangu haichaniki ngoja nianze kulisha mitaa na mimi.

Sina promo codes
App zangu nazotumia
Helabet
Sportbetty
 
Wakuu na mimi naanza ku,join kwenye hii challenge matreni sishushi.
Nitakuwa naweka
Bet za world cup siku ya mechi husika
Kwa mechi 1 odds 2+

Na kama kwa siku game 3 basi naweka odds.
6+
Mimi mikeka yangu haichaniki ngoja nianze kulisha mitaa na mimi.

Sina promo codes
App zangu nazotumia
Helabet
Sportbetty
Karibu sana jamvini kaka tuko pamoja...!
 
Naomba unisaidie jinsi cash out inavyopatikana, yaani, calculation inayofanyika ili kumpa mtu cash out yake.
Njia rahisi zidisha team zilizo win kwa odds zake.
Then zidisha na pesa uliyoweka.
Mf mechi 7.
Zilikuwa na odds za 1.5@1
TOtal odds ni 17.
Kama uli stake 1000.
Maana yake utapata 17K

Sasa kupata cash out kama kwenye hizo team 7 zimetoa team 4
Maana una odds 5.
Sasa hizo odds 5 ni sawa na Tsh. 5K.
Kwenye hiyo buku 5 kuna percent inatoka mara nyingi huwa wanachukua 5-10%.
I.e cash itasoma 4K +

NB: kama team zilizosalia bado hazijacheza maranyingi hii formula ndiyo hutumika

Kwa mechi ambazo zipo.live basi huwa wanaangalia trends za mechi husika pamoja na libe odds zake.
Zipo vp.
Kama live odds zime drop basi cash out inapanda ila kama live odds zimepanda sana basi cashout lazima ishuke.
 
TUISHI NAYO DRW YA ARGENTINA

FT



ALL D BEST
 

Attachments

  • Screenshot_20260613-195538_Chrome.jpg
    Screenshot_20260613-195538_Chrome.jpg
    138.7 KB · Views: 17
Back
Top Bottom