Yaani siku ukibet mpira utagonga nguzo basi HAUGONGI na ukichagua usigonge unagonga
Ukibet hakuna header goal inapigwa header moja ya hatari
Ukichagua yes magoli yote yanafungwa kwa mguu
Ukichagua goal will enter Yes haliingii, ukisema No Linaingia na Var inalifuta
Ukibet ndani ya dakika moja ya mwanzo keeper will touch the Ball No, yaani mpira ukianza wanapiga back pass hadi kwa kipa. Ukichagua Yes zinapigwa pass dk 5 kipa hajagusa
Ukibet added time ndogo unashangaa game siku hiyo inakua na upotezaji wa muda wakiduanzi na ukibet kubwa kunakua hakuna drama kabisaaa
Itoshe tu kusema betting ni Nyokò
Majuzi nilichagua Deffender asifunge goli beki wa Swaziland kàfunga
Hakunaga option rahisi hata siku moja..,...., Zote ni kurusha shilingi
Uzuri wa Mrusi nikwamba una uwanda mpana wa machaguo ya kubet