Huku hamna uchambuzi wa mikeka, wenzenu huwa wanakaa jopo wanachambua.Mkuu tufanyie wepesi Code pls
Lakini humu kila mtu anataka codes.
Nimetoa hapo juu mechi 4.
Nimeomba tuzichambue kwa opt za mrusi na sportbet ila kila mtu kauchuna kimyaa.
Huku hamna uchambuzi wa mikeka, wenzenu huwa wanakaa jopo wanachambua.Mkuu tufanyie wepesi Code pls
Uko Bar!?SIMBA ANA FUNGWA AMA KU DRW KUWEN MACHO
Vipi sportpesa wana tabia hiyo?Kama una ndoto za kupiga pesa ndefu au yale matreni ya milioni 30 hizi kampuni za mrusi sio sehemu salama kabisa utalia vibaya sana.
Kuna watu wameshakutana na joto la jiwe kwa milioni kadhaa tu kama ulishinda mfululizo na kutoa bila kudeposit.
Mtu analimitiwa odds, stake au kiasi cha kutoa. Mara anaambiwa atume vitambulisho ajipige navyo picha.
Mara atume bank statement yenye jina lake.
Au utume malipo ya bili kama umeme au maji yenye jina lake wakati mtu ni mpangaji tu.
Mwisho unaamua ubetie yote kwa hasira na wao ndio wanapenda.
Ukishindwa kutuma hivyo vitu ndio wanafunga akaunti yako kwa sheria walizojiwekea za kuwabeba wao tena wameandika wanaweza kufunga na kufuta akaunti yako bila maelezo yoyote ikiwa umekiuka masharti yao.
Nataka nijaribu helabetApp jamii ya mrusi nyingi sana, ikisumbua moja unahamia nyingine.
1. 1xbet
2. Melbet
3. Helabet (kodi ipo)
4. Betwinner (kodi ipo)
5. Linebet
6. Fansport
7. lilbet
8. 888starz
9. paripesa
10. Megapari
Hizi ndio zina special option.
Sawa mimi napata changamoto upande wa kuwithdraw ila upande wa ku deposity haina shidaSijajua unapata changamoto gani.
Ila sajili plain sehemu ya promo code skip.
Usikubali kuwapa watu ulaji
Maana promo code ni uraji wa wachache kuchana wako mikeka wenzako ndiyo wanakula
Kiongozi vipi sportpesa ni waaminifu?Nataka nijaribu helabet
Una withdraw kwa namba uliyosajiliaSawa mimi napata changamoto upande wa kuwithdraw ila upande wa ku deposity haina shida
Hii imetoa GG.Possibly GG.
6A7Q45
Sportbety
Wydad
Itihad
Odds 3
Stake at ur own risk
Hizi odd 2 zimetoka zote64K4RL
Sportbety
3+ streak No
Morocco league
Odd 2
Stake High