Game ikiwa tough na timu zinazopenda kushambuliana sana option ya Ball will hit the Post or Crossbar huna inajitahidi sana kutoa Odd zinacheza kwenye 1.8Game ya juzi ya mrusi
Niliweka added time over 1.5 yaani naihitaji dk 2 tu za nyongeza.
Inafika HT refa kapuliza kipenga bila kuweka hata dk 1,hapo nikasema betting nyokoo
Siku hizi nagawa mkeka natafuta odd 1.7 na stake high halafu natufuta opposite yake na stake low.
Hapo nalinda mtaji,naweza pata loss ya elfu 20 au 30 kuliko kupoteza pesa ndefu yote.
Jana brasil na moroccoGame ikiwa tough na timu zinazopenda kushambuliana sana option ya Ball will hit the Post or Crossbar huna inajitahidi sana kutoa Odd zinacheza kwenye 1.8
Kama una ndoto za kupiga pesa ndefu au yale matreni ya milioni 30 hizi kampuni za mrusi sio sehemu salama kabisa utalia vibaya sana.Kampuni za MAJAMBAZI ukipiga hela ndefu sahau kulipwa
Hapo kidogo labda Helabet na Betwinner sababu zimesajiliwa Bongo unaweza kuwashtaki Bodi ya michezo ya kubahatisha ukapata haki yako..
Wakamaria na sisi jau.Kama una ndoto za kupiga pesa ndefu au yale matreni ya milioni 30 hizi kampuni za mrusi sio sehemu salama kabisa utalia vibaya sana.
Kuna watu wameshakutana na joto la jiwe kwa milioni kadhaa tu kama ulishinda mfululizo na kutoa bila kudeposit.
Mtu analimitiwa odds, stake au kiasi cha kutoa. Mara anaambiwa atume vitambulisho ajipige navyo picha.
Mara atume bank statement yenye jina lake.
Au utume malipo ya bili kama umeme au maji yenye jina lake wakati mtu ni mpangaji tu.
Mwisho unaamua ubetie yote kwa hasira na wao ndio wanapenda.
Ukishindwa kutuma hivyo vitu ndio wanafunga akaunti yako kwa sheria walizojiwekea za kuwabeba wao tena wameandika wanaweza kufunga na kufuta akaunti yako bila maelezo yoyote ikiwa umekiuka masharti yao.
Wakamaria hii hamuitaki? Iki boom mnaanza kulalamika.Wawekezaji wenzangu.
Bado na wasisitiza
Mechi za USA zile za saa 7 hadi 9
Zinakuwaga na hela sana.
Kwa wale wa sportybet
Watembelee kwa
Over 2.5
2+streak press Yes
Atleast 1 team to lead by 2 goals.
Bila kusahau GG.
Nadhani Kanji kule kajisahau kwenye swala la odds zao.
Maana mechi 2 kutoa odds 4 siyo ajabu.
Wawekezaji wa odds 1.7+ single match au double match ambazo hazijaachana sanaa.
Wale wa apps za mrusi mpaka sasa naona best opt za kutembea nazo kwenu.
SUb at first time hii jana imeingiliwa katika team 3 za jana na team 1 ya leo morn. Team 2 zimetoa huwa ina odd 1.6. Kwale wa laki laki hapo hukosi 70K faida per match.
Chaka la 2.
Official added time.
Kwa sasa naona mechi za jana na leo watu watacheza kwa nidhamu sana hivyo muda haupotei hovyo hovyo
Mrusi mnjanja ana opt 2
HT over 4.5 anakupa odd 2
Under yake anatoa odd 1.7
Napendekeza tupige under kwa mechi zisizo na hamsha hamsha.
Ball enter kapunjja odd tangu kombe lianze anatoa odd za mbuzi anakupa odd 1.4
Game za presha Penalty/sending anatoa odd tamu 1.7
Leo ujerumani kaweka odd 1.67
Wawekezaji ws laki,laki jilipueni na hiyo opt.
Kwa wale wagumu wazee wa buku kufukuzia 1M basi kwa apps za mrusi best pick naona iwe.
Subst second half then unakuja ku pick na No sending/penalty added
Mf game ya ujerumani
Uki double pick unapata odds
3.56
Ukichukua mechi zote za leo hadi morn jumla odds.
105
Hapo ni mechi 4 tu.
Kama ukichanga karata vyema kwenye hizo odds 105 hukosi odd 30 ula stake 10K uka boom 300K
Ukiwa una press tusaidie tujue ni code ya kampuni gani mkuu51EYN3
6Q4G37
548AE3
6Z6VN8
Mkuu tufanyie wepesi Code plsWawekezaji wenzangu.