Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama
Uchambuzi wa morocco.
Tuchukue team 3 au zote 4

Berkane
Wydad
Raja
Itihad

Wale wa apps za mrusi
Pick kona under 10 hapo pana odds 3+
Stake minimum.

Game ikishaanza huwa wanaruhusu kadi pick over 1.5 kila game pana odds 2.5 stake high

Possibly hapo team 3 lazima zitoe GG na 1 inaweza isitoe.

Wale wa magoli under 4.5 goals
Pana 2 odds. Kwa mechi zote
Mpira wa morocco magoli huwa si mengi.
japo unaweza risk kwa kuomba over 1.5
Pana odds 3
Na GG ina odds 16.

Wastani kila game ina odds 2.1
Hapa wawekezaji mnaweza jilipua
Ulifuata ushauri wa hapa?.
Basi weekend yako umefunga kibabe.

Wawekezaji
Wale wa GG team 4. 3 zimetoa GG
NA kila team ilkuwa na wastani wa odd 2 kwa GG.

Kadi odd 4 zimetoa
Kona odd 3 zimetoka

Humu tungekuwa tunachambua mechi ingekuwa unyama sana.

Nakuja na uchambuzi wa mechi za usiku za
USA na World cup mechi 3

Andaa kibunda stake highly uhakika
Sina promo code
 
Kama

Ulifuata ushauri wa hapa?.
Basi weekend yako umefunga kibabe.

Wawekezaji
Wale wa GG team 4. 3 zimetoa GG
NA kila team ilkuwa na wastani wa odd 2 kwa GG.

Kadi odd 4 zimetoa
Kona odd 3 zimetoka

Humu tungekuwa tunachambua mechi ingekuwa unyama sana.

Nakuja na uchambuzi wa mechi za usiku za
USA na World cup mechi 3

Andaa kibunda stake highly uhakika
Sina promo code
Tuko pamoja chief leta uchambuzi tujilipue
 
Tuko pamoja chief leta uchambuzi tujilipue
Huku muda mwingi mnajadili siasa tu na mapenzi.
Nakosa ushirikiano..
Mkinipa ushirikiano nitakuwa nawatoa sana odds.
C, umeona hapo juu bashiri zangu zinagonga mule mule.
Natamani tuwe tuna discuss mechi.
Target tuwe na
Odds 2
Odds 4
Odds 10
Na odds 100+
Kwa siku

Betting ni science na trends.
Mkinipa ushirikiano nitakuwa naendeleza nondo.

Mimi napigaga hadi odds 2K.
 
Huku muda mwingi mnajadili siasa tu na mapenzi.
Nakosa ushirikiano..
Mkinipa ushirikiano nitakuwa nawatoa sana odds.
C, umeona hapo juu bashiri zangu zinagonga mule mule.
Natamani tuwe tuna discuss mechi.
Target tuwe na
Odds 2
Odds 4
Odds 10
Na odds 100+
Kwa siku

Betting ni science na trends.
Mkinipa ushirikiano nitakuwa naendeleza nondo.

Mimi napigaga hadi odds 2K.
Yaa ni kweli kiongozi uchambuzi ni muhimu sana tuletee uchambuzi kwa mimi naona kwa world cup hii kama inakuwa na magoli machache
 
Wawekezaji kuna kitu hamjagundua.
Nenda sportbet au popote
Mechi ina GG hii
AU mpe over 0.5 cu
Naona hizi odds 4 za kuchezea siyo lazima ujilipue stake hata 10 au buku 5 kama una hofu
 
Yaa ni kweli kiongozi uchambuzi ni muhimu sana tuletee uchambuzi kwa mimi naona kwa world cup hii kama inakuwa na magoli machache
Tuwe tunachambua wote wadau wata join tu.
Ngoja game iishe ya Germany
Saa 3 na nusu turudi hapa tupige uchambuzi.
Unatumia apps gani?
 
Wawekezaji kuna kitu hamjagundua.
Nenda sportbet au popote
Mechi ina GG hii
AU mpe over 0.5 cu
Naona hizi odds 4 za kuchezea siyo lazima ujilipue stake hata 10 au buku 5 kama una hofu
HIi ndiyo maana halisi ya betting.
Betting haiitaji hisia wala mihemko

Tayari odd 4 zimeshakunjwa😆😆😆.

Msiwe mnabett kwa hisia au kufuata odds.
Kanuni ya betting ni bett against the odds.
 
Mzani ume balance wale wa live bet.
Press No sub at half time kuna odd 2.5 naona za kuchezea kanji hajuhi mpira nini??
Yaani game ime balance watu watoke half time kocha atie sabu????😆, wale wa apps za mrusi kuna odd 2.5 za bure hapoo
 
Official added time
Nisha confirm
First half under 4.5

Second half over 5.5
Kama leo sub at half itatoa
Basi nayo nitatembea nayo
Kwahiyo nitakuwa na uhakika wa kukunja odds 3 kila siku kws mechi 1.

Na nitakuwa najilipua na wastani wa odds
3 game 1
3 game 2
3 game ya 3

Jumla odds 27
 
Nataka nijaribu helabet
Helabet wana ofisi tz hata ikitokea changamoto unawafata. Hawa wengine picha linaanza kampuni imesajiliwa Curacao, General T&Cs ina page 240+ na wengi hatusomi tunatandika mikeka tu.
Ndani ya hizo page kuna kipengele kinasema afisa ubashiri atakuwa halali kutumia website na/au app ikiwa tu imehalalishwa katika nchi yake, kinyume na hapo inahesabika ni illegal na akaunti ya mchezaji inaweza kufutwa bila maelezo.

Hata kama wamezitaja hizo nchi ambazo kutumia huduma si halali, je kwetu ni Malawi ni halali!
 
Muda wa lawama umefika.
Game ya ujerumani imetoa opt nyingi sana kama ulizifuata.
Maana kwa direct win alikuwa na odds chache sana.

Tupige games za usiku mnene USA na hizi 3 za kulalia
World cup.
Neth
Ivory
Tunis

Waliopo hewani mawazo wakuu
 
Back
Top Bottom