Odds 2.5 ndizo zilitoa55MEZY
Sportybet kona
Odds 3
6XW0SB
Odds 2.5
Kama unawasiwasi na kona za juu jaribu hii
Stake highly
Hii uhakikaa kama kifoo
Kwa waliofuata odds 3 team ya mwisho sweed aliishia kona 6 so,ime cut mechi 1
Odds 2.5 ndizo zilitoa55MEZY
Sportybet kona
Odds 3
6XW0SB
Odds 2.5
Kama unawasiwasi na kona za juu jaribu hii
Stake highly
Hii uhakikaa kama kifoo
Goal oustide ndiyo imetuangusha hapo.GG inatoa team 2.
Tunis na sweeden naona wote wachovu tu.
Japan anatoa GG.
Ecuador anatoa GG
Tunis bet at ur own risk
Wale wa apps za mrusi.
Ball enter pick mechi zote No.
Official added time
Japan
Sweeden under 4.5
Waafrica na america huwa uwanjani wanappteza sana muda sishauri ku pick mech ya ecuador kwenye offial time.
First touch goal keeper
Ecuador na tunis lazima itoe.
Mpira wao mwingi unaanzia kwa kipa.
Sub at half
Possibly ni japan pick No.
Goal outside No kwa mechi zote 3.
PEnalty/sending off
Japan na tunis pick No.
Ecuador na ivory hawa wote wasumbufu usiwafuate.
Nakuzingatia sana Mkuu, kuna kitu uko nachoWakamaria wakusubiria mkeka u boom ndiyo muanze kufuata code.
Huu mkeka wa jana niliomba uchambuzi.
Ni mechi 1 ya juu pekee ndiyo ilichana.
Kama uli rebet basi ulipata odds 80
Na kama ulichambua kwa target ya odds 30+
Basi mlizipata bila shaka.
Halafu huwa nachanganya ma fail.Nakuzingatia sana Mkuu, kuna kitu uko nacho
Tuko pamoja kiongozi...!Halafu huwa nachanganya ma fail.
Kuna kitu nimeona jana baadhi kinaweza wa lostisha
leo nitakuwa nikiweka code na specify kabisa.
Tukutane saa 10 mkuu.
Haina noma mkuu, tunasubiri mioto hiyo saa kumiHalafu huwa nachanganya ma fail.
Kuna kitu nimeona jana baadhi kinaweza wa lostisha
leo nitakuwa nikiweka code na specify kabisa.
Tukutane saa 10 mkuu.
Mechi za leo ni chache..labda tennis😃Wakuu leteni game tuchambue basi?
Mechi za leo kwangu naona zina odds chache sanaa
Daah kitu huwa naogopaga na sijawahi jaribu ni hii correct score. Hapo sina nalojua mtaalamuView attachment 3608384
Hii imekaaje wawekezaji...?
Hizo mechi nadhan zilishapita.. ila zilichana mkeka auView attachment 3608384
Hii imekaaje wawekezaji...?
Mkuu tenis sijawahi jaribuMechi za leo ni chache..labda tennis😃
Mimi natoa Belgium 2.5