Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kamati za Ku bet nawasalimu kwa jina la Cape verde
.kwangu imetoa hivyo na zile opt za mrusi zimetoa ni magoli ndiyo yamegoma lakini opt zote katoaaaa..
 

Attachments

  • Screenshot_20260615_210107_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260615_210107_SportyBet.jpg
    114.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260615_210015_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260615_210015_SportyBet.jpg
    117.6 KB · Views: 14
Odd 27 zikaenda.na moto kwa team 1 mamaeee
 

Attachments

  • Screenshot_20260615_210645_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260615_210645_SportyBet.jpg
    156.8 KB · Views: 16
Duuuh watu mnatoa codes mikeka inachanika ila wadau mnashangilia boom 💥 au kipigo cha muhindi kimetufanya tuchanganyikiwe??.
Ahha siyo code zote tunaweka mkuu.
Mf hizo boom zangu hapo juu
Nili rebet baada ya dk 45 kuona ngoma ngumu.
Nikajivika mabomu
Japo kanji alishusha odd ndiyo maana umeona mechi ime boom kwa odds 2.

Pia, analyze ya mechi kwa apps ya mrusi mbona ime boom?
Labda kama hutumii apps za mrusi hapo juu kulikuwa na uchambuzi wa kwa app za mrusi
 
🤣, Kuna wawekezaji na kuna wakamaria.
Wakamaria hatukatagi tamaa
Ila wawekezaji wao hawatakagi changamoto.

Game ya spain,imewaumiza sana wawekezaji ila wakamaria wame take easy.

Kama jana mlifurahia kwa germany basi ni changamoto za biashara.
Msikate tamaa.
Tuchambueni midnity
 
Au mnaugulia maumivu wakuu?
Best opt za mrusi

Sub at half time No
Mechi zote
3 zinq odds 4 (Hizi uhakika)

Ball enter pick No
Select mechi ya belgium na iran.

Penalty awad
Pick no
Iran na belgium

First touch game 2 pick yes.
Belgium
Saudia.

Sub second half pick Yes
IKiwezekana team zote japo belgium mmh..

Kona
Ova 7
Mechi zote.

Kadi.
Ova 1.5 mechi zote.

Wale wa magoli
Belgium ova 2.5
Saudia 1.5
Iran 1.5
Kama mmekuwa down na magoli basi pick kona kwa wale wa sportbety uchukue odd zako 2 za kulalia
 
Wawekezaji hapo kwenye added time hapo hizo odds 2 zinaelea
 

Attachments

  • Screenshot_20260615_215902_Helabet.jpg
    Screenshot_20260615_215902_Helabet.jpg
    182.8 KB · Views: 14
Odd 4 zishatoa hizoo hapa na fukuzia odd 10
 

Attachments

  • Screenshot_20260615_232709_Helabet.jpg
    Screenshot_20260615_232709_Helabet.jpg
    141.5 KB · Views: 13
Kesho tu download apps za mrusi naona kwenye opt zake tunaweza ambulia odds 10 au hata 4.
Kanji leo kawalaza na viatu wadau hawaelewi
 
Ni kweli kabisa kampuni gani ya mrusi ukiacha sportybet yenye option ya no sub halftime
Chukua helabet au 1xbet
Ila usiweke promo code
Jisajili plain

Sema ubaya wa mrusi hana cashout unashikilia bomba hadi mwisho wa mechi.
Mechi za mrusi game 3 kutoa odds 4 au 10 kitu cha kawaida sana
 

Attachments

  • Screenshot_20260616_080052_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_080052_Helabet.jpg
    141.2 KB · Views: 16
Oyy Einsteini kampuni ipi ya mrusi tudownload na njia ya kudeposit ni ipi maana last time tulikua tunatumia mawakala wao njia ambayo ilikua na usumbufu balaa.
 
Back
Top Bottom