Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kila si
World cup.
Possibly

Mechi 4 za leo.
Naona zote zinatema GG.
Ukifuata zote odds 27.
Possibly 1 inaweza isitoe ila 3 lazima zitoe
KIla siku GG na cut mechi 1.
Bora niwe afisa muwekezaji tu.

Kama ulijilipua na GG kwa mechi 1,1 basi ulipiga odds 2,2,2
Maana GG zilikuwa na odds 2,2.
 
Oyy Einsteini kampuni ipi ya mrusi tudownload na njia ya kudeposit ni ipi maana last time tulikua tunatumia mawakala wao njia ambayo ilikua na usumbufu balaa.
Apps za mrusi chukua zilizosajiliwa kwa mm naona best
Helabet na 1xbet
Njia ya ku deposit na kupitia mobile money yako
MItandao yote inachukua na kutoa n kupitia mtandao na namba uliyotumia.

Sema usikalishe hela sana kwao, uki win toa hela hawachelewi kuomba nida mara ujirekodi
 
Vp helabet siyo wasumbufu kwenye kutoa hela kweli
 
Kama kawaida chaka la 3+streak No limetoa odds zangu 2 maana jana kulikuwa na mechi sasa.
Wale wawekezaji kama mlifuata ushauri wa kufuata GG kwa single mechi.
Hizo odds 2 2 naona mli boom.
 
Attachments

  • Screenshot_20260616_081022_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260616_081022_SportyBet.jpg
    172.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260616_081043_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260616_081043_SportyBet.jpg
    137.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260616_081055_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260616_081055_SportyBet.jpg
    116.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260616_081103_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260616_081103_SportyBet.jpg
    117 KB · Views: 16
Vp helabet siyo wasumbufu kwenye kutoa hela kweli
😆😆😆,oyaa helabet kuna muda wagaigai kinoma ngoja nikuoneshe chat nazo bishanaga nao inbox
Changamoto ya helabet kuna muda ukipiga mshindo wana cut mechi.
Ngoja niscreenshot chat zao ili ukijiungq ujiunge at ur own risk.
Japo naona wao angalau kidogo
 
Kuna siku nilikuwa nataka kutoa 2M wakafunga acc na kutaka mara nida mara nn takataka kibao ukiwapa nida wanataka passport ya kusafiria.
Jamaa m1 akanishauri akasema kaa kimyaa. Nikapotezea nikafanya timing saa 9 usiku nikatoa hela fresh.
Changamoto zao nyingine kwa kutoa hela nyingi sijajua kwa wote inaweza chukua hata lisaa au nusu saa hela isifike kwenye acc.
Sasa sijajua n mm tu au laah.
Pia vyanzo vyao vya taarifa kuna muda vinaweka mikeka lost
 
Attachments

  • Screenshot_20260526_000650_Helabet.jpg
    Screenshot_20260526_000650_Helabet.jpg
    109.3 KB · Views: 22
  • Screenshot_20260510_210349_Helabet.jpg
    Screenshot_20260510_210349_Helabet.jpg
    148.2 KB · Views: 21
  • Screenshot_20260524_080706_Helabet.jpg
    Screenshot_20260524_080706_Helabet.jpg
    201.8 KB · Views: 20
Vp helabet siyo wasumbufu kwenye kutoa hela
Hizo.ndiyo changamoto zao.mkuu
Kingine ukiwabana sanaa wanataka uwape.link official na u state dk na sec ya tukio.
Wana complication za kiduwanzi sanaa
 
Attachments

  • Screenshot_20260616_082859_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_082859_Helabet.jpg
    192.1 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260616_083614_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083614_Helabet.jpg
    216.1 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260616_083800_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083800_Helabet.jpg
    203.7 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260616_083832_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083832_Helabet.jpg
    168.1 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260616_083919_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083919_Helabet.jpg
    161.7 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260616_083952_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083952_Helabet.jpg
    199.5 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260616_084025_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_084025_Helabet.jpg
    179.8 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260616_084106_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_084106_Helabet.jpg
    222.4 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260616_084129_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_084129_Helabet.jpg
    212.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260616_084140_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_084140_Helabet.jpg
    197.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_20260616_083642_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083642_Helabet.jpg
    193.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260616_083711_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083711_Helabet.jpg
    167.3 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260616_082932_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_082932_Helabet.jpg
    203.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20260616_083012_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083012_Helabet.jpg
    177.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260616_083040_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083040_Helabet.jpg
    178.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260616_083105_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083105_Helabet.jpg
    200.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260616_083220_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083220_Helabet.jpg
    211.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260616_083317_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083317_Helabet.jpg
    174 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260616_083346_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083346_Helabet.jpg
    180.9 KB · Views: 20
  • Screenshot_20260616_083440_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083440_Helabet.jpg
    228 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260616_083550_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083550_Helabet.jpg
    200.6 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260616_083746_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_083746_Helabet.jpg
    171.1 KB · Views: 15
Duh sasa mbona inakuwa shida sana sasa kampuni gani ya mrusi iliyo nyooka kwenye kutoa hela na ipo na option izo nzuri
Bado helabet na 1xbet wana nafuu sana wangekuwa matapeli ningekuwa nishawakacha ni kukomaa nao tu.
Muda mzuri wa kutoa hela bila longolongo ni usiku.
Ila morn na jioni sijuhi wanakuwa wanazidiwa.
Haina maana kuwa haitoki, itatoka lakini kwa mbinde.

Na pesa ndefu toa kwa mafungu yote kwa mkupuo unaweza jikuta unaambiwa attach passport.

Mrusi ni best kwa wawekezaji wazee wa odds 2,3
Kanji kwa wanaofukuzia 1M kwa mia

Maana mrusi hana cashout mpaka umuelemee sana ndiyo anatoa yaani kama una mzigo mnene wa ku boom na akaona no way utashinda basi anasumbua balaa kutaka u cashout
 
Aisee
 
Oyy Einsteini kampuni ipi ya mrusi tudownload na njia ya kudeposit ni ipi maana last time tulikua tunatumia mawakala wao njia ambayo ilikua na usumbufu balaa.
Mimi 1xbet huwa natumia NMB au wakala. Kwangu inakubali kudeposit kwa bank na kutoa kwa wakala. Napendelea kudeposit kwa bank kwa sababu sikatwi.
Ukimpata wakala mzuri hakuna shida.

Megapari napendelea voda

Melbet natumia wakala, pia inakubali kudeposit kwa mobile na kutoa kwa njia yoyote mobile au wakala.

Helabet sio mpenzi sana kwa ajili ya 18%.

Hii kazi ni ngumu, nataka nideposit bure, na kwenye akaunti nikashinda 20,000 nahakikisha mkononi inafika 20,000.
 
Bado helabet na 1xbet wana nafuu sana wangekuwa matapeli ningekuwa nishawakacha ni kukomaa nao tu.
Muda mzuri wa kutoa hela bila longolongo ni usiku.
Ila morn na jioni sijuhi wanakuwa wanazidiwa.
Haina maana kuwa haitoki, itatoka lakini kwa mbinde.

Na pesa ndefu toa kwa mafungu yote kwa mkupuo unaweza jikuta unaambiwa attach passport.

Mrusi ni best kwa wawekezaji wazee wa odds 2,3
Kanji kwa wanaofukuzia 1M kwa mia

Maana mrusi hana cashout mpaka umuelemee sana ndiyo anatoa yaani kama una mzigo mnene wa ku boom na akaona no way utashinda basi anasumbua balaa kutaka u cashout
Nimejiunga na helabet iv hawa helabet naona game za kibongo za leo naangalia kwenye wep yao hapa hakuna kabisa
 
Nimejiunga na helabet iv hawa helabet naona game za kibongo za leo naangalia kwenye wep yao hapa hakuna kabisa
HElabet kuna kipindi hawawekagi NBC lakini walivyo wa ajabu championship wanawekaga pamoja na CRDB.

Japo kwa upande wa mechi nyingi,helabet ana mechi nyingi hadi ligi za mchangani compare na kanji
 
HElabet kuna kipindi hawawekagi NBC lakini walivyo wa ajabu championship wanawekaga pamoja na CRDB.

Japo kwa upande wa mechi nyingi,helabet ana mechi nyingi hadi ligi za mchangani compare na kanji
Yaa nimeona za leo hakuna bas nisukie odds 2 au3 nilipuke na helabet
 
Nimejiunga na helabet iv hawa helabet naona game za kibongo za leo naangalia kwenye wep yao hapa hakuna kabisa
Japo bado sijachambua lakini selection zangu hizo hapa kwa mechi za leo.
Helabet sijawahi beti magoli wala directly win kwan hawana cashout.
Napendaga sana kubetia matukio

Jana mechi zote 4
Hakukuwa na penalty wala red
Hakukuwa na disallowed goal
Hakukuwa na sub at half
Sub zote zilifanyika kipind cha 2.

Hizi opt zilikuwa na zaidi ya odds 200
 
Attachments

  • Screenshot_20260616_125854_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_125854_Helabet.jpg
    72.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260616_125809_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_125809_Helabet.jpg
    132.3 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260616_125629_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_125629_Helabet.jpg
    93.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260616_125526_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_125526_Helabet.jpg
    92.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260616_125358_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_125358_Helabet.jpg
    86.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260616_130002_Helabet.jpg
    Screenshot_20260616_130002_Helabet.jpg
    103.2 KB · Views: 18
Yaa nimeona za leo hakuna bas nisukie odds 2 au3 nilipuke na helabet
Unataka tusuke mechi 1 itoe odds 3 au mechi 2 itoe odds 2 au 3?
Au muwekezaji wa odds 1.7 hadi 2.5?

Maana kuna odds chaguo lako tu.
Mechi 1 kwa helabet unaweza itengeneza mara 4
 
Unataka tusuke mechi 1 itoe odds 3 au mechi 2 itoe odds 2 au 3?
Au muwekezaji wa odds 1.7 hadi 2.5?

Maana kuna odds chaguo lako tu.
Mechi 1 kwa helabet unaweza itengeneza mara 4
Option nyepesi odds ndogo mechi hata zikiwa 4au zaidi ila odds ziwe 3au 4
 
Option nyepesi odds ndogo mechi hata zikiwa 4au zaidi ila odds ziwe 3au 4
Opt nyepesi zaidi japo kuna mida inalaza viatu ni..

Goal outside penalty area pick No.
Goal after corner pick No.
Hizi huwa zina odds 1.25@1

Inayofata kwa wepesi
Ball enter
Hii huwa na odds 1.45 hadi 1.56 kwa ku.pick No.

Inayoumiza kichwa
Penalty awarded hii huwa na odds 1.3 hadi 1.5

Pasua kichwa
No penalty and sending off
Hii inakuwaga na odds 1.6 hadi 1.8 kuna muda...

Best opt kwangu
Japo kuna muda zinazingua..
First sub itokee kipindi gani.
Hii huwa na odds 2 kwa second half
Na odds 4 kwa first half.
Huku Sub at first ikiwa na odds 1.6 hadi 2.1

Baada ya kombe kuanza opt ambazo zinatoa sana ni hizi.
First touch goal keper huwa na odds 1.5
Medical team enter pitch odds 2
Ball enter
Penalty no sending
No sub first half
Hizi wastan kila siku zinatoa
Kwa wawekezaji hapa kupiga odds 4 kwa siku ni uhakika kama kifo maana inahitaji mechi 2 kupata
 
Back
Top Bottom