Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii opt ya never down kwenye sportbet naona imekaa unyama sanaa
Au .mnaonaje wadau?

Nachopendea ina odd nzuri game 2 inatoa odd 3.
Game 3 hukosi odd 4
Kwa world cup hii naona kanji alijisahau kwa hii opt kuiweka
 
Kwa uchambuzi wangu naona hatua hii ya mwanzoni.
Possible outcome kwenye hatua za mwanzoni .

Safe na best opt kwa watumiaji wa Sportbety ni.
1)Never down
2)2 Goal in row
3)atleast 1 team to lead 2 goal
4)Corner lakini hii opt ina work zaidi kwa 7.5
I.e match itoe kona 8 na ukipiga under 10.5 inatoa sanaa.

Nchi za America ni wachovu sanaa kwenye kona
Ni rahisi mechi kuisha na magoli 5. Lakini ni ngumu mechi kutoa kona hata 9 tu.

Ulaya wanatoa sana kona
NI rahisi ulaya mechi kutoa kona 13 lakini i ngumu sana ulaya mechi kutoa goli 4.
Refer mechi hizi.

Mexico katoa kona 4 under 7.5
Korea kona 9 under 9.5
Canada kona 13 over 9.5
USA kona 4 under 7.5

Waafrica na Asia nao wachovu sana wa kona.

Waarabu huwa wanatoa sana kona nao kama ulaya.
Nitoe wito kwa wenye sportbety
Mechi za ulaya Kona over 8.5 huwa uhakika sanaa.
Ila latin na waafrica hapo pigilia kona under 9.5 ni safe sana.

Tukija swala la kadi.
America na uarabuni
Wapo rafu sana mechi zao kadi zinakuwa nyingi sana pamoja na penalty.

Africa na ulaya wanajitahidi sana kucheza kwa nidhamu.
Hivyo swala la kadi
Kwa mechi za
America na uarabuni
Over 2.5 hadi kadi 4 uhakika kutoka
Japo kwa world cup hii njano zinakuwa nyingi hatua ya awali kutokana na uwepo wa technology
Hivyo kwa wale wa kadi kila match wastani kadi 4 huwa zinatoka napendekeza over 2.5
 
HTFT
HOME/HOME
2.90
WEKAMZIGO
SAATATU
 

Attachments

  • IMG_20260613_201909_298.jpg
    IMG_20260613_201909_298.jpg
    23.6 KB · Views: 20
Wale wa GG.
Mpaka sasa mechi 4 zote zimetoa GG.
Lakini kuna kitu wengi hawajang'amua.
Hatua ya mwanzoni kwa usalama na uhakika
Pigilia over 1.5 wewe omba magoli 2 tu
Na kama utatumia asian handcap force unyama wa over 2 hapa hata goli zikiwa 2 plain unakuwa refunded.

Wale wa kujilipua na kupiga handcap kwa hatua ya mwanzoni si salama sana
Kama mechi unaona ina odds ndogo temana nayo
Kuliko kujilipua na ma cap mengi mwishowe ikakuchania.

Possible outcomes kwa wale wanaolinda mitaji.
Nenda ligi ndogo na za kawaida
Piga 3+streak weka No.
Tafuta Odds 4 kwa mechi 5 stake high ukilinda msingi wako.
Mechi za USA zile za saa 7 kwenda 9 huwa zinatoa sanaa
GG na over 2.5
Pia, atleast 1 team to lead 2Goal mechi zile za usiku mnene USA anatoa sana.
Hapa utalinda msingi wako kwa wivu sana.

Nb:mechi za brasil na Argentina ligi zao hazitabirikagi zile.
Leo anakupa over 3 kesho anakupa under 0
Hizi nilizikatiaga tamaa kama mechi za australia
 
Betting nidhamu
Ukiona siku umepiga parefu ukianza kuliwa pumzika wakamaria wengi imani na tamaa inatukwamisha sometime.

Jana.
Zile special events za world cup mechi ya saa 4 karibia zote zilitoka.
Kuna mwana alipiga kama 2M jumla kupitia zile special bett.
Akaingia tamaa akafata upepo wa USA
Matokeo yake.
2M ya mrusi ikarudi ghalani kwake na 1M ya mshikaji ikaenda na maji.

Kwahiyo ndugu zanguni tuwe na target kwa siku.
Ukileta tamaa utajikuta hadi mtaji umepotea.
 
Wale wanaotumia apps za mrusi
Jamii ya
Helabet
Dbet
1xbet
Na watoto wao kina paripesa.

Nyie mmekaa na utajiri ambao hamjuhi kuutimia vyema.
Ngoja niwape best opt ambazo mnazo ila wengi hamzitumii.

1)Var to be used
2)Substitution
3)Offical added time (Hili chaka ni.la wachache sana linatoa sana hela)
4)Ball will enter
5)Penalty or sending off
5)Atleast 1 team will lead by......
6)Both team to score atleast 1 half
7)Brace
8)Head goal
9)Goal outside penalty area

Halafu kuna ule unyama wa
Corner to take all fied of the.......

Hizi opt ni utajiri ambao kwa wajanja wanapiga pesa kimya kimyaa sasa leo nawasanuaaa
 
Wakamaria wana imani za ajabu mara nyeto inachana mikeka mara ku share na watu mikeka inachanika hovyo.

Sasa mimi.natoa hizo opt
Kwa siku 3 mfululizo nikiona nachana basi nitakuwa mfuasi wa imani zao.
 
Hizi ni stake za platical.
Ukifuatilia hapo kuna
3 streak No hapo ni.mechi 5 odds 4
Kuna never down mechi 1 odds 2.8
Kuna kona over 9.5 mechi ya jana.

Naomba niendelee kushusha demos.
Ya stake zangu

NB:Sitotoa Booms
Nitaweka demo za ku stake 100/300 muone dunia ya wakamaria ilivyo
 

Attachments

  • Screenshot_20260613_205102_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260613_205102_SportyBet.jpg
    166.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260613_205019_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260613_205019_SportyBet.jpg
    121.2 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260613_204956_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260613_204956_SportyBet.jpg
    122 KB · Views: 12
Wale wanaotumia apps za mrusi
Jamii ya
Helabet
Dbet
1xbet
Na watoto wao kina paripesa.

Nyie mmekaa na utajiri ambao hamjuhi kuutimia vyema.
Ngoja niwape best opt ambazo mnazo ila wengi hamzitumii.

1)Var to be used
2)Substitution
3)Offical added time (Hili chaka ni.la wachache sana linatoa sana hela)
4)Ball will enter
5)Penalty or sending off
5)Atleast 1 team will lead by......
6)Both team to score atleast 1 half
7)Brace
8)Head goal
9)Goal outside penalty area

Halafu kuna ule unyama wa
Corner to take all fied of the.......

Hizi opt ni utajiri ambao kwa wajanja wanapiga pesa kimya kimyaa sasa leo nawasanuaaa
Msaada jinsi ya kufungua acc helabet mkuu napata changamoto sanaa
 
CHABAB BEM GUERIR
FT X
💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥
👏 💐 🥳 🎊 👏 💐 🥳 🎊 KAMA UMEFWAT
Zikikuwa hapo juuu
 
20 odds ka 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥
All drws kama yluzifwata
Kesho nayo sikuuuuuuuu

All d best n gdnyt

Advc

ukiziona single jazia na ov 1.5 za maana odds 5 pakia kilandrw na mzigo wa ov 1.5
 

Attachments

  • IMG_20260613_211750_781.jpg
    IMG_20260613_211750_781.jpg
    69.4 KB · Views: 18
Hizi ni stake za platical.
Ukifuatilia hapo kuna
3 streak No hapo ni.mechi 5 odds 4
Kuna never down mechi 1 odds 2.8
Kuna kona over 9.5 mechi ya jana.

Naomba niendelee kushusha demos.
Ya stake zangu

NB:Sitotoa Booms
Nitaweka demo za ku stake 100/300 muone dunia ya wakamaria ilivyo
mkuu bado unabet jero duh niliachaga zamani sana me siku hizi bila kuweka kuanzia laki bora nisibet
 
mkuu bado unabet jero duh niliachaga zamani sana me siku hizi bila kuweka kuanzia laki bora
Soma.maelezo hapo juu
Hizo ni sample nikiwa najaribu baadhi ya opt kuna mikeka nitaweka hapo na bet hadi sh 10.
Ni tafiti nilikuwa nafanya na zimetoa matunda.

Huwezi risk 1M kwa opt ambayo hujawahi ichungulia na ili opt uipitishe rasmi lazima u bet zaidi ya mara 5 kwa mechi tofauti.
Mf: mpaka leo hii naweza weka 2M kwa mechi za USA ili nipate 2 goal lead au GG maana na uhakika lazima watoe.

Naweza tia hata 10M kwa ajili ya 3+streak no kwa ajili ya mechi za argentina na brazil

Na sasa naweza tia hata 200K kwa ajili ya VAR to be used world cup hii maana uwepo wa tech umeturahisishia baadhi ya opt kwenye kamari

Lakini naweza tia
300K
Kwa ajili ya opt ya first sub iwe second time maana kwa.mpira wa sasa sub mostly huwa kuanzia dk ya 65+

Usiseme kwamba naweza weka 1B kwq ajili ya no sub at first half
Ni haiwezekani na nadra sana watu kutoka.mapumziko na sub kuanza
 
Kila nikichungulia mechi hii ya Qatar na Swiss
Naona odd zote za mbuzi
Kwahiyo sioni cha kuweka
Maana odds zao ni chache.
Ukisema uweke
GG kamoyo kana sita
Ukisema utie ova 2 bado odd za kubangaiza
Ukija kwenye kona kanji anajua balaa lake ova odd ndogo na under odd ndogo

Kwa wale wa app za mrusi
Best opt ni hii hapa...

VAR tia Yes
Sub at first half weka No

Ball will enter na penalty/sending off
Hii kwa leo sishauri.

Huku sportybet
Opt zote odd zake ndogo
Na utaratibu wangu mm n kucheza mechi 1 tu.

Naweza cheza game 4 ikiwa zinafuatana.

Nitarudi kwenye mechi za usiku.
 
Back
Top Bottom