Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Goal oustide ndiyo imetuangusha hapo.
Opt zote zime boom
 
Mikeka ya usiku 3.
Miwili ilitoa
Kwa odds
3 na odds 2.5

Kwa wale wawekezaji
Wa single match world cup mechi 3 za jana 2 zimetoa kwa GG
Na opt zilizosalia
Zote zilitoa isipokuwa goal outside kwa mechi ya tunis pekee.
 

Attachments

  • Screenshot_20260615_073925_SportyBet.jpg
    173.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260615_074042_SportyBet.jpg
    147.2 KB · Views: 15
Kuonyesha stake ni kuwatia watu kimue mue.
Ninakuwaga na mikeka 2 ila kwa sasa tangu nianze humu, nimeanza tengeneza mi 3

1)Na stake high kwa ajili ya cashout
2)Na stake less huu naachaga hadi mwisho
3)Nimeanzisha humu wa ku share ambao na stake sh 10 kwa sportbet na sh 100 kwa helabet. (Kwahiyo hizo sh 100 au jero nazo stake au win hazina uhalisia)
 
Stake za wawekezaji hizo odds 3 kwa odds 1.7+
Baadae kwenye saa 10
Nitarudi na uchambuzi wa world cup
Mechi za leo
Spain
Belgium
Saudia
Iran
Leo tunapiga odds 100 i surely

Odds 10 za.moto kama jana
Nitachukua mechi za sweeden,norway na iceland
Hawa mara zote GG wanatoa sana pamoja na 2goal in row kuwafuata na 3 streak ni presha
 

Attachments

  • Screenshot_20260615_075857_Helabet.jpg
    86.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260615_075838_Helabet.jpg
    143.7 KB · Views: 8
Wakamaria wakusubiria mkeka u boom ndiyo muanze kufuata code.
Huu mkeka wa jana niliomba uchambuzi.
Ni mechi 1 ya juu pekee ndiyo ilichana.
Kama uli rebet basi ulipata odds 80
Na kama ulichambua kwa target ya odds 30+
Basi mlizipata bila shaka.
 

Attachments

  • Screenshot_20260614_131520_Helabet.jpg
    139.8 KB · Views: 13
World cup.
Possibly

Mechi 4 za leo.
Naona zote zinatema GG.
Ukifuata zote odds 27.
Possibly 1 inaweza isitoe ila 3 lazima zitoe

Mimi na wasiwasi na wa iran ndiyo wanaweza wasitoe GG.
Spain ni mzuri.lakini verde yupo kwenye form nzuri zaidi.
Mechi zilizopita verde ka score wastani wa goli 2 per game.

Belgium ni mzuri lakini Egypt anampaga presha sana.

Kama iran ukiwatoa basi kwa mechi zote 3 GG ina odds. 13
Kwa wale wa wekezaji wa odds 2,2
Basi mechi zote waweke GG separate possibly game 3 zinatoa watakuwa na kitita kizuri.

Mechi 3 za mwanzoni naona kuna mvua ya magoli
Pick over 2.5 kwa kila mechi.
Kwa mechi 3 za mwanzo ni odds 5 za bure hizii.
Kwa wale wa wekezaji
GAme 2 zina wastani wa odds 2,2 kila 1
Unaweza fuata game 1,1

Kadi over 1.5
Mechi zote 4 zina odds 3.

Possibly kona.

Game 3 za mwanzo
Kona pick over 7 but under 10.
hapa pana odds 5 za bure
Belgium na spain mechi zao zinakuwaga na kona chache sana.
America mpira wao wa kati,hivyo kona huwa hawatoagi kabisa hata hiyo kona 7 mechi ya uruguay ni kwa vile anacheza na muarabu.

Wale wa apps za mrusi
KWenye zile opt zenu pendwa karibuni
 
Mechi za leo ni chache..labda tennis😃
Mkuu tenis sijawahi jaribu
Ila basketball huwa napigaga sana na hela ya kula huwa ishakuwa fixed kwenye basketball ni lazima nipate hela yaani.
Mechi 2 odds 3 na stake 10, elfu 20 pesa ya kula siku nzima, tangu nibet basketball mambo ya msosi nyumbani sijawahi pata shida.

Basketball huwa natumia zaidi apps ya mrusi huwa napendelea kucheza opt hizi.

Smallest margin
Largest margin
First team to score point.

Halafu huwa natabia mbovuu
Australia na mbwembwe zote za kufungana hawanaga mbavu za kufunga 3point huwa napataga sana kwa kupick under per quarter na mrusi kajisahau odds anatoaga 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…