Leo nilitoa buku 5 sema kima cha chini.kutoa ni elfu 5.1xbet wanayo njia ya kuingiza pesa direct kupitia simu na kutoa pia vp upande wa option zipo za kutosha
Kubeti sio ufala, wachezaji ndio wathenge. Sisi huwa tunapiga hesabu yetu vizuri na ndio maana majibu ya maafusa wote huwa sawa kabla ya mechi.KU BET NI UFALA , HIKI KIBUNDA NIKIPELEKE KWENYE SHUGHULI ZINGINE TUUU. MNASHINDWA KYFUNGA HATA GOLI MOJA URENO DAH
Siku hizi ureno ya ronaldo sijuhi imekuaje yaani.KU BET NI UFALA , HIKI KIBUNDA NIKIPELEKE KWENYE SHUGHULI ZINGINE TUUU. MNASHINDWA KYFUNGA HATA GOLI MOJA URENO DAH
Haha watakuwa nao wana bet against odds.Kubeti sio ufala, wachezaji ndio wathenge. Sisi huwa tunapiga hesabu yetu vizuri na ndio maana majibu ya maafusa wote huwa sawa kabla ya mechi.
Shida hao washenzi wakishaingia kiwanjani wanafanya tofauti.
Nilikua kwenye mpira nacheza ile code ya next goal ngoja nije na huko kwenye handicap 🙏Tubadilishane chimbo tu.
Mmeona odds mlima hizo za basketball handcap??
Team 5 hapo odds 20.
Kwa wawekezaji hili chimbo linawafaha kabisa naona ni chimbo la uhakika 100% zaidi ya kifo yaani
Haha vip umeifaidi au imekupiga KO?Nilikua kwenye mpira nacheza ile code ya next goal ngoja nije na huko kwenye handicap 🙏
kubeti ni usenge Bora hii pesa nitafute wadada kama hawa , japo nikajipoze na jasho langu la kazi tuuuSiku hizi ureno ya ronaldo sijuhi imekuaje yaani.
Ni.mara ya 2 wanatulaza na viatu
Mchezo haitaji hasirakubeti ni usenge Bora hii pesa nitafute wadada kama hawa , japo nikajipoze na jasho langu la kazi tuuu
View attachment 3617314
dah ngoja hii pesa niliyonayo nika tombeee tuu maana nikitombea najua kabisa nampatia mdada mtu ninaye muona
laki 3 fyaaaaa Bora ningemda mdada kama huyu ili nimtombeeee tuu
Oyaaa usisaliti chama mdau.kubeti ni usenge Bora hii pesa nitafute wadada kama hawa , japo nikajipoze na jasho langu la kazi tuuu
View attachment 3617314
dah ngoja hii pesa niliyonayo nika tombeee tuu maana nikitombea najua kabisa nampatia mdada mtu ninaye muona
laki 3 fyaaaaa Bora ningemda mdada kama huyu ili nimtombeeee tuu
Sema mdau mreno jau sanaa siku hiziMchezo haitaji hasira
Ndio maana sheria za makampuni ya kubeti zipo wazi, mtu yeyote anayejihusisha na mpira haruhusiwi kubeti kwa ajili ya mambo kama haya.Wachezaji na marefa nao ni wakamaria hakuna,mtu anayejihusisha na sector ya mpira asiwe mkamaria.
Nilianza kuwa na mashaka
Huwa natumia 365bet ya Uk.
Walikuwa na opt hiyo siku added time first half
Over 1.5 odds 2 halafu under 1.5 odds 6.
Huwezi amini ile.mechi iliisha plain bila hata nukta ya dk kuongezwa.
Na hapo kulikuwa na matukio muhimu kama medical team waliingia zaidi ya mara 1 uwanjani.
Lakini haikuongezwa hata dk 1.
Kwa muktadha huo nikajua tu kuna hujuma hapo.
Oya mule mule.Ndio maana sheria za makampuni ya kubeti zipo wazi, mtu yeyote anayejihusisha na mpira haruhusiwi kubeti kwa ajili ya mambo kama haya.
Kuna special option mtu mmoja tu anaweza kubeti na anajua na maamuzi ya mwisho kwenye hiyo option anakula kiulaini kabisa mfano:
1. Official added time
2. Medical team kuingia kwenye pitch 1H
3. A player to score goal-unambetia ashinde kumbe yenye mwenyewe amebeti asishinde ni mwendo wa kutoa assist tu
4. VAR to be used