Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama muwekezaji hizo opt zimetoa 4
 
Kanji alijisahau leo kwenye kona
Paraguay alipewa odds 3 akifikisha kona 2 ety
 

Attachments

  • Screenshot_20260630_001659_Helabet.jpg
    124.7 KB · Views: 8
  • Screenshot_20260629_224222_Helabet.jpg
    155.4 KB · Views: 9
Kanji bhna anasema dk ya 70 hadi 80 et hizo dk 10 para apate kona 1 tu afu kampa od 4.
Sasa niwape siri wadau
Kila interval ya dk 10.lazima kona itokee.

Dk 50-60
60-70
70-80
80-90

Na kila interval katoa odd 4,4.
Hapo kuna possible ya 2 interval kutoa kona 1,1
Ina maana pana odd 8 za bure
 

Attachments

  • Screenshot_20260630_002114_Helabet.jpg
    154.7 KB · Views: 12
Pana odd 4,4 hapo
Wale wa apps za mrusi fursa hiyo
 
Para alipewa odd 4 akifunga first half.
Odds za kiwekezaji kumbe zinalipa
 
Kama unaamini hii game, Germany anashinda basi pana odd 2 za kwako.
Na kama unamaini ana poteza basi pana odd 1.6 za kwako tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20260630_003307_Helabet.jpg
    162.6 KB · Views: 10
Wawekezaji eeh?
Hapa kwenye time interval pana fursa.
Cheza na para kwa opt ya double chance in min.
Mpe apate.kona au kona isitokee
Na mpe yoyote apate odd mlimaa
Afu jilipue na odd 13 za yeye apate kona
Yaani hizo dk 10 para apate kona ya kuongoza
 

Attachments

  • Screenshot_20260630_003757_Helabet.jpg
    180.2 KB · Views: 11
Jana opt za kona
Ova 0.5 in 5min imetoa kwa mechi zote
Uki combine match zote jumla odds 29.

Method of qualify team 2 zimetoa
Odds 7,7, Kwa ku combine ni odd 49.

Round hii mwendo wa ki,uwekezaji tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20260630_070403_Helabet.jpg
    91.4 KB · Views: 10
Jana opt za kona
Ova 0.5 in 5min imetoa kwa mechi zote
Uki combine match zote jumla odds 29.

Method of qualify team 2 zimetoa
Odds 7,7, Kwa ku combine ni odd 49.

Round hii mwendo wa ki,uwekezaji tu.
Yaa nimeona ipo pw sana
 
Wahi hapa mapemaaaa

SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS : 2

CODE:- 577S6N

View attachment 3618711
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘β˜‘οΈβ˜‘οΈπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Mapemaaa

Recover from previous set up

Leo Nayo ni siku
 
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS : 5 tuu kwa AFYA

CODE :- 51230U

View attachment 3618829
Betting imekuja kuharibu mpira.
Mashabiki siku hizi tunaumia mikeka kuchanika kuliko team yako kupoteza.

Binafsi me simba natamani, sana leo yanga apoteze ili tuwr mabingwa ila k betting sasa nalala naye hizo over 2 goalπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Betting imekuja kuharibu mpira.
Mashabiki siku hizi tunaumia mikeka kuchanika kuliko team yako kupoteza.

Binafsi me simba natamani, sana leo yanga apoteze ili tuwr mabingwa ila k betting sasa nalala naye hizo over 2 goalπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
🀣🀣🀣🀣🀣

Kweli hizi Team hizi

Mie YOUNG AFRICANS ila SIMBA kila akicheza Nampa mazimaa na akishinda eti natumia huku mkeka umetiki ila natumia kushinda
Na SIMBA akufungwa hata mkeka ukichanika eti naona Poa tuuu aiseeee

Ushabiki na Betting balaa

Ila KMC leo atajutaaaa

Huku OKELO Young Africans wanamtengenezea magoal Ili awe MVP na top scorer

Kule SIMBA nako wanapambana na Hali yao

Mechi ya AZAM vs Dodoma wameiruka,hii nayo ya magoal maana Feitoto anatafuta kuwa top scorer,yaani leo kutaaam mnoo

Ila nasubiria mpaka Saa Saba wanaweza kuweka Mechi ya AZAM then natupia Tena CODE nyingine
 
Oyaa hatarii.
Hiyo baadae leta odd za azam.
Sema leo wastani kila game ova 2 zinatoa
Tupia code za ova 2 hawa top 3
Yanga ashinde Ft gol 3
Simba ft gol 3
Azam ft gol 3

Maana hapo naona odd zinavutia
 
Oyaa hatarii.
Hiyo baadae leta odd za azam.
Sema leo wastani kila game ova 2 zinatoa
Tupia code za ova 2 hawa top 3
Yanga ashinde Ft gol 3
Simba ft gol 3
Azam ft gol 3

Maana hapo naona odd zinavutia
Sana tu

AZAM bado wameibania hawajaiweka
Nawasubiria

Halafu kuna TANZANIA Prisons vs MASHUJAA,hii Hela hii
Hapa Over 1.5 au unampa Prison goal
Maana wote ni Jeshi,huku Magereza kule JWTZ ( MASHUJAA)
MASHUJAA yupo Salama. Hata akifungwa ila Prison anaweza kushuka Daraja akufungwa,hapo Sasa,lazima walindane hapo
 
Hizo game zipo sportnet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…